Miaka milioni 200 ijayo, siku itakuwa na masaa 25 badala ya masaa 24

Vipi mwingine akisema baada ya miaka mil200 siku itakuwa saa 15?
Maana tafiti zinaonesha kasi ya mzunguko wa dunia kwenye mhili wake inapungua.
Kwamba unagawa 15 mara 2 ili upate mchana na usiku?

Ina maana hata umri WA kuishi duniani utapungua pia .miaka 15 Tu kibibi tayari.
 
Unajua hesabu ni namba,na namba huwa hazidanganyi.
Huwenda uko sahihi ila Hebu tuoneshe hapa,ulivyopiga-piga hizo hizo hesabu mpaka kupata hilo jibu!
NUMBERS DONT LIE, BUT YOU CAN LIE WITH NUMBERS...
 
Vipi mwingine akisema baada ya miaka mil200 siku itakuwa saa 15?
Maana tafiti zinaonesha kasi ya mzunguko wa dunia kwenye mhili wake inapungua.
Hesabu hazidanganyi

Dunia inazunguka kwa kasi ya meter 298 kwa kila sekunde moja, na inachukua wastani wa masaa 24 kukamilisha mzunguko mmoja (1 day), ila kutokana na mvutano kati ya dunia na mwezi, speed hii inapungua kila siku, physical experiments zilizofanywa zime establish kwamba dunia inachukua ‘millisekunde’ 1.8 zaidi kukamilisha mzunguko kila baada ya miaka 100. Hii inamaana kila baada ya miaka laki 1 siku inaongezeka urefu kwa sekunde 1.8; sasa tufanye ni sekunde 2 kwa urahisi wa hesabu. Hivyo kwa ongezeko la sekunde 60 (dakika 1) kwenye mzunguko itachukua miaka milioni 3, na kwa ongezeko la lisaa limoja (60 minutes) itachukua miaka milioni 180, ambapo tungeenda na constant ile ile ya 1.8milliseconds ndio tunapata ongezeko la lisaa limoja kwa miaka milioni 200.
 
Nilitaka ushahidi wa kimahesabu kami hivi. Asante
 
Back
Top Bottom