FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Anzia hapa, mzunguko wa dunia unapungua kwa ‘milisecond’ 1.8 kwa kila karne moja…Unajua hesabu ni namba,na namba huwa hazidanganyi.
Huwenda uko sahihi ila Hebu tuoneshe hapa,ulivyopiga-piga hizo he's hesabu mpaka kupata hilo jibu!
Maelezo bila ya formula ni upuuzi, umetumia formula ipi iweke hapo and let us derive on our own.Kwa hesabu za haraka haraka nilizopiga, kwa kutumia known constants za mzunguko wa dunia, ni kwamba baada ya miaka milioni 200 ijayo kutoka sasa, siku moja itakuwa na masaa 25 badala ya masaa 24 ya sasa.
Hii inamaanisha kwamba, viumbe kama dinasours walioishi miaka milini 200 iliyopita, siku ilikuwa na masaa 23 tu kwao.
===========================
Masaa 24 kwa siku hayatoshi. Je, tukiamua siku iwe na masaa 28 nini kitatokea?
Kwa mantiki hiyo, saa zote na mifumo yote ya utunzaji muda ibadilishwe, sioni ulazima wa masaa kuendana na mzunguko wa jua. Jua lizunguke kivyake ila sisi tutahesabu masaa yetu kivyake, masaa 24 hayatoshi kabisa! ========================== 14/04/2025...www.jamiiforums.com
Za kuambiwa changanya na za kwako...Jesus is coming soon. Get prepared
Masaa ya siku ni muda ambao dunia hutumia kukamilisha mzunguko mmoja inapozunguka (rotation) kwenye mhimili wake (axis)Unapimaje masaa ya siku?
Dunia inazunguka kwa kasi ya meter 298 kwa kila sekunde moja, na inachukua wastani wa masaa 24 kukamilisha mzunguko mmoja (1 day), ila kutokana na mvutano kati ya dunia na mwezi, speed hii inapungua kila siku, physical experiments zilizofanywa zime establish kwamba dunia inachukua ‘millisekunde’ 1.8 zaidi kukamilisha mzunguko kila baada ya miaka 100. Hii inamaana kila baada ya miaka laki 1 siku inaongezeka urefu kwa sekunde 1.8; sasa tufanye ni sekunde 2 kwa urahisi wa hesabu. Hivyo kwa ongezeko la sekunde 60 (dakika 1) kwenye mzunguko itachukua miaka milioni 3, na kwa ongezeko la lisaa limoja (60 minutes) itachukua miaka milioni 180, ambapo tungeenda na constant ile ile ya 1.8milliseconds ndio tunapata ongezeko la lisaa limoja kwa miaka milioni 200.Maelezo bila ya formula ni upuuzi, umetumia formula ipi iweke hapo and let us derive on our own.
Dunia ina miaka takriban bilion 4 tangu kujiunda kwake. Life imekuwepo duniani tangu miaka milioni 300 nyuma.., kuna jiwe lilityangukia, viumbe karibu vyote vilikufa , including dinasours, ila wabishi tukasurvive, kipindi hicho ancestors wetu labda walikuwa mijusi tu, who knows.., maana viumbe wenye mfano na binadamu wa sasa walievolve miaka kama milioni 1 tu iliyopita hapa East Africa, ndio wakasambaa duniani koteMwisho wa dunia utakuwa bado tu!!!
amenJesus is coming soon. Get prepared
Setfree katika ubora wake😸😸😸Jesus is coming soon. Get prepared