Miaka minne ya Uhamisho-Utumishi yatuumiza kichwa

Misunderstood

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
393
Reaction score
896
Wapendwa habari!
Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa DSM, mume wangu miezi kadhaa iliyopita alipata nafasi ya kazi katika Halmashauri fulani mkoa wa Kaskazini Magharibi.

Kwa vile alitafuta kazi kwa muda, ile shauku ikatufanya tuamue aende huko ila ni mbali mno. Changamoto ni kwamba tunaona tuliamua vibaya, maana licha ya ndoa ni changa ila mtoto nae ana changamoto za kiafya. Naona nakosa emotional support hasa kwenye suala la mtoto maana nilizoea tunasaidiana hapa na pale.

Nina maswali kadhaa kwa wale wenye uzoefu na hii mifumo; Je hii miaka minne ni serious sana hakuna namna yoyote? Je Kiustawi wa kifamilia ni sawa mume akiacha huko arudi DSM kuja kutafuta kazi private companies? Na je akiacha huko serikalini kuna uwezekano akaja kuajiriwa tena serikalini?

Note: Mimi siwezi kuhama kutokana na nature ya kazi yangu.

Asanteni kwa muda wenu!
 
Serikali inaajiri kulingana na uhitaji sio ndoa znu, kama wote mnafanya kazi basi kila mtu na malengo yake. Sio rahisi kuhamishwa kwa kutumia akili tu , labd wafanye exchange ya vituo ila kumtoa mtu basi nafasi ibake wazi ilhali aliajiriwa ili kuziba pengo .
 
Wapendwa habari!
Mimi na mume tumejikuta njiapanda kwa kutokuelewa tuamuaje. Mimi ni mama wa mtoto wa mwaka mmoja na ndoa ya mwaka na miezi kadhaa. Mimi ni muajiriwa katika taasisi fulani hapa DSM, mume wangu miezi kadhaa iliyopita alipata nafasi ya kazi katika Halmashauri fulani mkoa wa Kaskazini Magharibi.

Kwa vile alitafuta kazi kwa muda, ile shauku ikatufanya tuamue aende huko ila ni mbali mno. Changamoto ni kwamba tunaona tuliamua vibaya, maana licha ya ndoa ni changa ila mtoto nae ana changamoto za kiafya. Naona nakosa emotional support hasa kwenye suala la mtoto maana nilizoea tunasaidiana hapa na pale.

Nina maswali kadhaa kwa wale wenye uzoefu na hii mifumo; Je hii miaka minne ni serious sana hakuna namna yoyote? Je Kiustawi wa kifamilia ni sawa mume akiacha huko arudi DSM kuja kutafuta kazi private companies? Na je akiacha huko serikalini kuna uwezekano akaja kuajiriwa tena serikalini?

Note: Mimi siwezi kuhama kutokana na nature ya kazi yangu.

Asanteni kwa muda wenu!
Kigezo cha kuhama ni miaka 3 ikiwa mtu huyo hakuna ulazima wa kuhama lakini kama mtu huyo anachangamoto basi mwaka unamruhusu kuhama kituo baada ya kuithinishwa kazini.kuna watu wanahama kituo na wamefikisha mwaka tu na wanahama.kwahyo mtoa mada changanua akili na usiogope kupambania malengo yako na kumbuka serikali hii haina mwenyewe na kila mtu naruhusiwa anapotaka kwenda.swali linabaki je umuelezee nani akusaidie? Hili ndo wazo na ukisema utumie mifumo ya kiuhamaji aisee mama angu hutofanikiwa ,kifupi inabidi itembee barua tu .kwahyo kama umeajiriwa serikalini sijajua una mda gani bc tafuta connection na usiogope au kukunja mkono mtu akisema umpe chochote kitu wewe toa kikubwa unapambania ndoto zako najua hata kama isingekuwa sababu ya mtoto lakni kutoka jiji la dsm kwenda sehem nyingine kumbuke umeikimbiza frusa sababu kila mtumishi anatamani kuajiliwa ndani ya jiji hili sababu ya frusa mbalimbali. Kwahyo ongea na watu hao viongozi wenye maamuzi ni binadamu siyo maraika na hawako mbinguni .usikatiswe tamaa watu wa jf ndo walivyo. Je mme wako ana mda gani kazini?
 
Mmeo ana mda gani kazini?
 
Sawa mpendwa ngoja tusubiri afikishe huo mwaka kama kutakuwa na matumaini
 
Kwanza ondoa kauli ya "Siwezi hama sababu ya nature yangu". Kama JPM tu alisepa samia akakaa, CAG alipigwa tofali kabla ya kustaafu, itakuaa weee tena uko TAMISEMI, mpo wengi kama mchwa. 🤣🤣
Hii ni dhahiri kwamba unajilinda na kutaka mume akufuate.

Sasa kwa taarifa yako, maombi ya uhamisho yanayopewa uzito ni ya MKE KUMFUATA MUME na sio MUME KUMFUATA MKE.

Kwaio amua kwenda kwa MUME, au muendelee kuishi hivyo. Au mtafute uhamisho kwa njia nyingine na sio MWENZA.
 
Akiacha hawezi kuajiriwa kwa nafasi ile ile nafikiri.

Isipokua hapo sina uhakika sana inawezekana ni asiajiriwe kabisa.

Miaka minne ni formality but with the right connections hata miezi sita hamalizi na bila kuthibitishwa. Hii nimeshuhudia.

Hata hivyo emotional support siyo kitu kisichoweza kua offered mtu akiwa mbali labda useme kwakua alikua hana mishe alikua anazunguka na mtoto hospitalini wewe ukiwa kazini.

Kama hiyo ni sababu kwakua sasa hivi ana mishe hata yeye atashindwa kuzunguka na dogo. So cha kufanya tafuteni mfanyakazi wa ndani wakati mnachambua connections za kuhama.
 
Kama unataka kuhama nitafute karibu PM
 
Akitaka kuhama anitafute
 
Kwanza ondoa kauli ya "Siwezi hama sababu ya nature yangu". Kama JPM tu alisepa samia akakaa, CAG alipigwa tofali kabla ya kustaafu, itakuaa weee tena uko TAMISEMI, mpo wengi kama mchwa. 🤣🤣
Hii ni dhahiri kwamba unajilinda na kutaka mume akufuate.

Sasa kwa taarifa yako, maombi ya uhamisho yanayopewa uzito ni ya MKE KUMFUATA MUME na sio MUME KUMFUATA MKE.

Kwaio amua kwenda kwa MUME, au muendelee kuishi hivyo. Au mtafute uhamisho kwa njia nyingine na sio MWENZA.
Sio ‘nature yangu’ ni ‘nature ya kazi yangu’ hakuna sehemu nayoweza kuhamishiwa huko mooa alipo
 
Back
Top Bottom