Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 393
- 896
- Thread starter
- #21
Sasa si ndo wamejaza nafasi. Atahamaje hapo?Wapo wazanzibar kibao wameajiriwa huku bara hasa mwaka huu,avute subira atahama.
Sasa si ndo wamejaza nafasi. Atahamaje hapo?Wapo wazanzibar kibao wameajiriwa huku bara hasa mwaka huu,avute subira atahama.
Mbona kwenye majeshi uhamisho unakua rahisi kuliko sekta nyingine, Kuna Baba yetu mdogo yeye alikuaga Mwanajeshi alikua ana Hamishwa Mara kwa mara kwasababu alikua mlevi akilewa alikua anapiga keleke kwenye Kota zao Usiku kucha, Sasa dawa yake walikua wana muhamishia huko mikoani na familia yake inabakia Dar, Sasa anafanya kazi huko mikoani kama miezi 8 baada ya hapo anafanya mchakato anarudishwa Dar, Nilimsikia akiongea na Baba akisema mimi nilichagua nihamishiwe kikosi A nashangaa huyu anayehamisha kanipangia kikosi C, Yeye ndiyo alikua anachagua Sehemu ya kufanyia kazi akitaka kurudi Dar lakini Dar kweye alikua kila mara wana muamisha kwenda mikoani kwasababu alikua mlevi anapigia wenzake makeleke. Ninacho jiuliza alikua anatumia mbinu gani ya kupata uhamisho wa kurudishwa Dar, nikaja kugundua Jeshini kuomba uhamusho na kufanikiwa ni rahisi kuliko Sekta zingine,mama huyu Baba mdogo yeye alikua anachagua kikosi cha kuhamishiwa.Serikali inaajiri kulingana na uhitaji sio ndoa znu, kama wote mnafanya kazi basi kila mtu na malengo yake. Sio rahisi kuhamishwa kwa kutumia akili tu , labd wafanye exchange ya vituo ila kumtoa mtu basi nafasi ibake wazi ilhali aliajiriwa ili kuziba pengo .
Jeshi linajitegmea , huku kwa mifumo iwe Tamisemi au wizarani kuna matatizo sana .Mbona kwenye majeshi uhamisho unakua rahisi kuliko sekta nyingine, Kuna Baba yetu mdogo yeye alikuaga Mwanajeshi alikua ana Hamishwa Mara kwa mara kwasababu alikua mlevi akilewa alikua anapiga keleke kwenye Kota zao Usiku kucha, Sasa dawa yake walikua wana muhamishia huko mikoani na familia yake inabakia Dar, Sasa anafanya kazi huko mikoani kama miezi 8 baada ya hapo anafanya mchakato anarudishwa Dar, Nilimsikia akiongea na Baba akisema mimi nilichagua nihamishiwe kikosi A nashangaa huyu anayehamisha kanipangia kikosi C, Yeye ndiyo alikua anachagua Sehemu ya kufanyia kazi akitaka kurudi Dar lakini Dar kweye alikua kila mara wana muamisha kwenda mikoani kwasababu alikua mlevi anapigia wenzake makeleke. Ninacho jiuliza alikua anatumia mbinu gani ya kupata uhamisho wa kurudishwa Dar, nikaja kugundua Jeshini kuomba uhamusho na kufanikiwa ni rahisi kuliko Sekta zingine,mama huyu Baba mdogo yeye alikua anachagua kikosi cha kuhamishiwa.
UsiweSawa mpendwa nakuja
Nina experience na Tamisemi kwa Taasisi ngoja niulizeLegit mzee? Hadi taasisi au TAMISEMI tu?
Ngoja nikupe wazo tafuta now doctor wa moyo mpoze akupe document ya ugonjwa wa moyo na akujazie details kama mahudhurio ya kucheki afya kwanzia mwezi huu nakuendelea .kwahyo ukishapata hiyo document pambana kuhama kituo kwa kigezo cha kuwa kalibu ya hospital yan mmeo ahame kuja dsm sababu ndo hospital ilipo.asikutishe mtu uhamisho upo kingine jf sidhani kama watakusaidia yan humu unanicholesha tu lakini ungekuja na mada za MAKEBO MAKUBWA,KUDINYANA,JAGINA na KULA KIMASIHALA hapo watu wangekuunga mkono nakuchangia hoja .kwihyo kuhama kupo pambania lengo lako kila kitu ni mazungumzo hakuna ofisi ambayo iko mbinguni zote ziko hapa na hao maboss ni watu kama wewe kwahyo now pambania ukutane na mtu sahihi atakaye kusaidia ila epuka matapeli ni wengi. Hapa jf hutosaidiwa zaidi wanakuchora tu ila tafuta connection kupitia hapo ulipo kazini na marafiki ambao unafahamiana nao .binafisi mimi ningekusaidia ila kwa situation niko kama mmeo mimi pia nasubiri mwaka uishe ila mipango ipo sababu watu wapo.NOTE pambania ndoto yako selikari hii haina mwenyewe popote unapotaka unaweza kwenda kifupi ukutane na mtu sahihi.Sawa mpendwa ngoja tusubiri afikishe huo mwaka kama kutakuwa na matumaini
Usimpoze na usimdanganyeNgoja nikupe wazo tafuta now doctor wa moyo mpoze akupe document ya ugonjwa wa moyo na akujazie details kama mahudhurio ya kucheki afya kwanzia mwezi huu nakuendelea .kwahyo ukishapata hiyo document pambana kuhama kituo kwa kigezo cha kuwa kalibu ya hospital yan mmeo ahame kuja dsm sababu ndo hospital ilipo.asikutishe mtu uhamisho upo kingine jf sidhani kama watakusaidia yan humu unanicholesha tu lakini ungekuja na mada za MAKEBO MAKUBWA,KUDINYANA,JAGINA na KULA KIMASIHALA hapo watu wangekuunga mkono nakuchangia hoja .kwihyo kuhama kupo pambania lengo lako kila kitu ni mazungumzo hakuna ofisi ambayo iko mbinguni zote ziko hapa na hao maboss ni watu kama wewe kwahyo now pambania ukutane na mtu sahihi atakaye kusaidia ila epuka matapeli ni wengi. Hapa jf hutosaidiwa zaidi wanakuchora tu ila tafuta connection kupitia hapo ulipo kazini na marafiki ambao unafahamiana nao .binafisi mimi ningekusaidia ila kwa situation niko kama mmeo mimi pia nasubiri mwaka uishe ila mipango ipo sababu watu wapo.NOTE pambania ndoto yako selikari hii haina mwenyewe popote unapotaka unaweza kwenda kifupi ukutane na mtu sahihi.
Zee la madawa je ataweza kuhama hajafikisha mwaka?Akitaka kuhama anitafute
Why mkuu ? Pia nimeona kuna watu wamefanikiwa kwa hiloUsimpoze na usimdanganye
Kuna jamaa yangu alipata msala na anajutaWhy mkuu ? Pia nimeona kuna watu wamefanikiwa kwa hilo
Kama amethibitishwa ni uhakikaZee la madawa je ataweza kuhama hajafikisha mwaka?
Asante mkuu kwa kunipa moyoNgoja nikupe wazo tafuta now doctor wa moyo mpoze akupe document ya ugonjwa wa moyo na akujazie details kama mahudhurio ya kucheki afya kwanzia mwezi huu nakuendelea .kwahyo ukishapata hiyo document pambana kuhama kituo kwa kigezo cha kuwa kalibu ya hospital yan mmeo ahame kuja dsm sababu ndo hospital ilipo.asikutishe mtu uhamisho upo kingine jf sidhani kama watakusaidia yan humu unanicholesha tu lakini ungekuja na mada za MAKEBO MAKUBWA,KUDINYANA,JAGINA na KULA KIMASIHALA hapo watu wangekuunga mkono nakuchangia hoja .kwihyo kuhama kupo pambania lengo lako kila kitu ni mazungumzo hakuna ofisi ambayo iko mbinguni zote ziko hapa na hao maboss ni watu kama wewe kwahyo now pambania ukutane na mtu sahihi atakaye kusaidia ila epuka matapeli ni wengi. Hapa jf hutosaidiwa zaidi wanakuchora tu ila tafuta connection kupitia hapo ulipo kazini na marafiki ambao unafahamiana nao .binafisi mimi ningekusaidia ila kwa situation niko kama mmeo mimi pia nasubiri mwaka uishe ila mipango ipo sababu watu wapo.NOTE pambania ndoto yako selikari hii haina mwenyewe popote unapotaka unaweza kwenda kifupi ukutane na mtu sahihi.
Kwanini Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya zisijitegemee ziwe kama Jeshi linavyo ajili Askari na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya na wao waajili watu moja kwa moja kama Jeshi. Hii Tamisemi ilitakiwa ivunjwe isiwepo hii Tamisemi inasabisha mambo mengi ya cheese kwenda mbele.Jeshi linajitegmea , huku kwa mifumo iwe Tamisemi au wizarani kuna matatizo sana .