Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Hii HatariBiashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?
Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...www.jamiiforums.com
Kibaya Serikali Kimya Kabisa