Miaka mitano ijayo 'betting' itaigharimu Tanzania kama taifa

Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla.

FACTS
• 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs.
• Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m)
• Ukosefu wa ajira bado upo
• Over 40m people use mobile phone
• Kila kijana anataka mafanikio.

BETTING IS A NEW CANCER IN TZ

Tangu 2014-2016 Betting company zimekusanya OVER 30BILLION tsh

• Nguvu ya matangazo ni kubwa
• Ushawishi ushameza vijana wengi

Sasa basi
Hili tabaka lisilo na kipato cha uhakika limeshamezwa na hii addiction.

vijana washaingia kwenye future of permanent credit crisis.

KINACHOFUATA.
• Depression
• Violence
• Corruption
• Strong unemployment

Naisikitikia nchi yangu.

UTAKUA MJINGA WA KUTUPWA KWA KUTEGEMEA MAFANIKIO KUPITIA KAMALI
Watu wanatengeneza pesa na maisha kupitia betting nina ushahidi na ninachosema kuna rafiki yangu mwezi wa 11 alitengeneza 7M ndani ya week 1 Kupitia kubeti kwa mtaji wa 200k
 
  • Thanks
Reactions: hnp
Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla.

FACTS
• 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs.
• Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m)
• Ukosefu wa ajira bado upo
• Over 40m people use mobile phone
• Kila kijana anataka mafanikio.

BETTING IS A NEW CANCER IN TZ

Tangu 2014-2016 Betting company zimekusanya OVER 30BILLION tsh

• Nguvu ya matangazo ni kubwa
• Ushawishi ushameza vijana wengi

Sasa basi
Hili tabaka lisilo na kipato cha uhakika limeshamezwa na hii addiction.

vijana washaingia kwenye future of permanent credit crisis.

KINACHOFUATA.
• Depression
• Violence
• Corruption
• Strong unemployment

Naisikitikia nchi yangu.

UTAKUA MJINGA WA KUTUPWA KWA KUTEGEMEA MAFANIKIO KUPITIA KAMALI
aloonaliwa adi najionea hurumaa
 
Uko sahihi mkuu, ila nchi yetu naamini siyo ya kidikteta, hutaki kubet poa waache wenzio waendelee nayo, hutaki sijuwi nini poa tu ila wenzio wanapenda. Jifunze kukubali hilo
 
kaa kwa kutulia kijana kama una ajira ni wewe tusio na ajira unataka tukajiuze ili kulisha familia zetu huwezi elewa ugumu wa maisha kama una ajira naomba tuache kabisa.Kamali ndo ajira yetu na ndo maisha yetu acha kufatilia maisha ya wacheza kamali fanya kazi kwa bidii
Utabeti mpaka uzeeni? Acha uzembe
 
kaa kwa kutulia kijana kama una ajira ni wewe tusio na ajira unataka tukajiuze ili kulisha familia zetu huwezi elewa ugumu wa maisha kama una ajira naomba tuache kabisa.Kamali ndo ajira yetu na ndo maisha yetu acha kufatilia maisha ya wacheza kamali fanya kazi kwa bidii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumezuka upigaji mwingine siku hizi ukiendeshwa na FM radio stations za clouds na Efm wanaita "mchongo pesa".
Watu wanatoa buku buku watu million moja na kukusanya billion huku wakidanganya watu kwa kuwapa millioni moja moja watu wawili
Ule ni wizi wa wazi kabisaaa [emoji817][emoji16]
 
Back
Top Bottom