Miaka mitano ijayo 'betting' itaigharimu Tanzania kama taifa

Hii Hatari
Kibaya Serikali Kimya Kabisa
 
Akalime Vanilla
Hahah Kuna jamaa wa vanilla ni muhuni sana na hela zake za kufikirika..

Bora betting tu.. Unga usioumiza.. Uraibu kama Kawa.. Unageuka paka tu kuiba nyumbani.. Ukichana mikeka zaidi ni depression na kujitundika tu.
 


Nimependa presentation yako, short and clear!
 
Betting ni mkombozi dhidi ya tatizo la ukosefu wa ajira...mtuache🐒
 
Marekani wana Mji Kabisa Maalumu kwa ajili ya Kamari, kama hujawahi usikia basi unaitwa Las Vegas. Sasa Fananisha Marekani na Tanzania.
 
mkuu katika hili bandiko lako ulisema ukwel mtupu kabisa.
 
Uzuri wa ile michezo halazimishwi mtu,na ndio maana inapaswa kuchezwa na wenye umri wa miaka 18 na zaidi..ningedhani ungejiuliza kwanini makampuni yanaongezeka wewe unalaumu kwanini vijana wanacheza sana.
 

Serikali makini ingethibiti hivi vitu. Betting ina madhara makubwa sana.

Ukiwa hauna pesa, unaweza kuamua kuchacharika, kupiga kazi yoyote.

Ukijìngiza kwenye betting unategemea kitu ambacho wajanja walipanga 97% watapoteza.

Wengine wanabet mshahara wao, pesa ya chakula, ya ujenzi, ada.

Ni addiction kubwa kuliko pombe madawa,, ngono.
 
Umeongea kwa uchungu na ndo ukweli huo, kila mtu apambane kutokomeza njaa anavyo jua
 
Ww nenda kalime vanilla acha watu wapambanie maisha yao wanavojua wenyewe... me sibet lkn sipend mtu anaefuatilia halakati za watu na kuongea maneno ya kuleta nuks
 
Namshukuru Mungu Sijawahi kubeti wala Sijawahi kufikiria kufanya hivyo. Nadhani hii inachangiwa na mimi kutokupenda mpira.
Mungu anisimamid kwa hili
 
Mwandika thread mwenyewe anabet..[emoji3][emoji1787]
 
Dah mwana kama ni ngumi umempiga za mfululizo kama yule mkongo alivomtwanga dullah mbabe

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…