Miaka mitano ijayo 'betting' itaigharimu Tanzania kama taifa

Watu wanatengeneza pesa na maisha kupitia betting nina ushahidi na ninachosema kuna rafiki yangu mwezi wa 11 alitengeneza 7M ndani ya week 1 Kupitia kubeti kwa mtaji wa 200k
 
Reactions: hnp
aloonaliwa adi najionea hurumaa
 
Uko sahihi mkuu, ila nchi yetu naamini siyo ya kidikteta, hutaki kubet poa waache wenzio waendelee nayo, hutaki sijuwi nini poa tu ila wenzio wanapenda. Jifunze kukubali hilo
 
Utabeti mpaka uzeeni? Acha uzembe
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kumezuka upigaji mwingine siku hizi ukiendeshwa na FM radio stations za clouds na Efm wanaita "mchongo pesa".
Watu wanatoa buku buku watu million moja na kukusanya billion huku wakidanganya watu kwa kuwapa millioni moja moja watu wawili
Ule ni wizi wa wazi kabisaaa [emoji817][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…