Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Huu upuuzi mwambie baba yakoMfate kaburini kama umeshindwa kubaliana na mabadiliko
Na bado utalialia sana humu na kamwe hatofufuka shetani wako.Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.
Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea kila wewe na Riz.
Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Kikwete aliitwa kila jina bayaRais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.
Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea kila wewe na Riz.
Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Jitafakari why umepokea matusi mazito baada ya kumfananisha JK na JPM?Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.
Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea kila wewe na Riz.
Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Na kweli kwa mateso tuliyopitia, Asante Mungu kwa kuingilia kati mana Dikteta la Chattle lilishaanza na maandalizi ya kubadili katiba ili lisitoke Ikulu.Mwaka mmoja wa jpm ni sawa sawa na miaka yote ya awamu ya nne na hii ya sita itakapomaliza muda wake
Milembe ndio nini?Wanaotakiwa kuwa milembe mko wengi asee, pole mtoa mada
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Wewe na nani? Jisemee wewe peke yako, hatujakutuma uwe mwakilishi wetu; hata tukiamua kutuma mwakilishi hatuwezi kukutuma wewe.Huo ni mtazamo wako, sisi tunamuona Magufuli kama Dikteta wa hatari kabisa, aliyekuwa amejificha nyuma ya Madaraja.
View attachment 2380972
Genius, Mkuu.Na bado utalialia sana humu na kamwe hatofufuka shetani wako.
Fanyia tu kazi ushauri wa Zito
Watu wanajitoa ufahamu sasa hivi na kujifanya wamesahau jinsi alivyokuwa dhaifu kwenye uongozi.Kikwete aliitwa kila jina baya
Sisi Upinzani ndugu Mataga, nakujua wewe ni Musiba, vipi ile fedha unayodaiwa na Membe umeshailipa?Wewe na nani? Jisemee wewe peke yako, hatujakutuma uwe mwakilishi wetu; hata tukiamua kutuma mwakilishi hatuwezi kukutuma wewe.