Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Mzee wa kubembea mpaka kuna nchi moja waziri wao wa utalii alitaka kufutwa kazi sio kama tumesahauWatu wanajitoa ufahamu sasa hivi na kujifanya wamesahau jinsi alivyokuwa dhaifu kwenye uongozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kubembea mpaka kuna nchi moja waziri wao wa utalii alitaka kufutwa kazi sio kama tumesahauWatu wanajitoa ufahamu sasa hivi na kujifanya wamesahau jinsi alivyokuwa dhaifu kwenye uongozi.
Usiliamushe dude hapa na hizo ramli zako. Naona umanitafutia ban kwa kutaka nitaje jina lako kamili, sitaji ng'ooo!Sisi Upinzani ndugu Mataga nakujua wewe ni Musiba vipi ile fedha unayodaiwa na Membe umeshailipa?
Nasikia umefilisika🤣Usiliamushe dude hapa na hizo ramli zako. Naona umanitafutia ban kwa kutaka nitaje jina lako kamili, sitaji ng'ooo!
Akawa ana Smile tu,huo ndio Uungwana.Kikwete aliitwa kila jina baya
Nini hiki?View attachment 2381011
Mzee wa Amani na Upendo japokuwa kila Binadamu ana makandokando yake he was one of the best.
View attachment 2381012
Pamoja sana Mzee kula Nanasi Mzee kwa raha zako tuko na Samia Nchi imepoa.
Acha radhau ndugu Mungu hapendi.Nini hiki?
Chawa kazini ! Tutajie na maiti zilizookotwa baharini basi ili tulinganisheRais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.
Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.
Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
Hao scout wanapeleka mgeni hotel Desderia?
Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga.
Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku ukichekelea mijino pembe wewe na Riz.
Hayati JPM katawala miaka tano tu. kakusanya mapato. Kajenga vituo vya afya kibao, hospital kibao. Pia kadhibiti mianya ya rushwa mpaka yakatokea yaliyomkuta. Hatukusikia kwenda USA kuuza sura na akina Rhihana.
huwezi kumsifu shetani halafu tukakuangalia tu .Hao scout wanapeleka mgeni hotel Desderia?
JPM ni rais bora kuwahi kutokea tangu 1961.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.....
Labda hiyo pepo iwe ya Wasiojulilana.JPM ni rais bora kuwahi kutokea tangu 1961.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.....
Shetani gani?huwezi kumsifu shetani halafu tukakuangalia tu .
Ukiwa miongoni mwao....trust me.Wanaotakiwa kuwa milembe mko wengi asee, pole mtoa mada
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Nyie wachumia tumbo fahamuni kwamba yule mliyemuabudu hayupo , tafuteni kazi makapuku nyie ! mtakufa njaaShetani gani?
Ngoja tumuulize Dr. UlimbokaAkawa ana Smile tu,huo ndio Uungwana.