Miaka mitano ya kifo cha Kanumba na maendeleo ya bongo muvi

Apumzike panapistahili.kiukweli huwa nashangaa sana nkiona watu wanavyompa legendary status huyu jamaa.the guy was avarage at best,au ni macho yangu yanaona tafauti.kanumba alikuwa wakawaida sana
Wakawaida ukimlinganisha na nani kibongo bongo hapa?
 
Nawaza Gabo angeact na Kanumba!
Ika ndo bas tena!
 
Enzi za Kanumba Bongo fleva walifunikwa kabisa na Bongo movie,RIP Kanumba ulinisababisha niwe mpenzi wa movie.
 
Naona hizi tarehe zinahusiana kabisa maana hata kiongozi wao amefariki tarehe 6/4. Kanumba alifariki tarehe 7/4.
Hapa kiongozi wao ni Sir Chande.
Kanumba 6/4=6+4=10
Sir. Andy Chande 7/4=7+4=11
Computer [emoji335] Inatambua 0,1
Devil worshipers they believe on 0,1,6
September eleven (11/09=
 
Afu ilikua siku kama ya leo tofauti ni kwamba ile ilikua ijumaa kuu
 
Huo ni mtazamo wake.Ni jambo gumu watu wote tukatazama sawa(mtazamo mmoja)
 
Apumzike panapistahili.kiukweli huwa nashangaa sana nkiona watu wanavyompa legendary status huyu jamaa.the guy was avarage at best,au ni macho yangu yanaona tafauti.kanumba alikuwa wakawaida sana
Ni vile kila mtu ana mtazamo wake tu, ila jamaa alikua anajua kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…