Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Wakawaida ukimlinganisha na nani kibongo bongo hapa?Apumzike panapistahili.kiukweli huwa nashangaa sana nkiona watu wanavyompa legendary status huyu jamaa.the guy was avarage at best,au ni macho yangu yanaona tafauti.kanumba alikuwa wakawaida sana