Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.
Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.