Miaka mitano yote iliisha kwa vitisho na kufokafoka tu hakuna la maana liliofanyika.

Mwamba wa chuki, lugha chafu, kujeruhi kwa risasasi, utekeaji, uuaji na kufukarisha wafanyabiashara.
Uko huru sasa tuambie tokea amekufa umetengeneza million miangapi?
 
Apa naona vitoto vya wale waliotumbuliwa enzi za mwamba vina hasira nae adi vina tetemeka kwenye ku type ..
 
Sijasoma kontenti ila ningekuwa wa ovyo kidogo tu, ningeandika ambayo yangatafsiriwa kama lugha chafu.

Mpaka sasa hamna wa kujilinganisha nae zaidi ya huyo huyo, kila mnachoanya, mnatafuta justification kutoka kwenye rekodi za mwamba! Hamjashtuka tu kuwa hamna hoja wala maono yenu binafsi?

Kweli tumejawa na chuki zisizo maana, lakini ndo kusema hata suala la umeme tu halikuoneshi utofauti wa sasa na hapo kale?

Mmeshakopa sana, mmeshauza mpaka wamasai, mmeshasaini bogus treaty nyingi, tunasubiri tuone tangible things zinakuwa/zinaonekana! L

Waty wenye akili mmekaa kujadili na kupiga kelele kuhusu mafuta, mkaongea usiku, mkaongea bungeni, eti kushusha tshs 29? Ni nani anatumia sh 29 mtaani?

Sio ninyi wala Mentor wenu mnayeweza kufikia rekodi ya mwamba hata kwa ⅛, msihangaike kuifuta wala kuichafua, imeandikwa mioyoni mwa wanakijiji kule, sio walafi wenye access na mitandao.

Ebu kaeni kimya, fanyeni yenu, sifianeni, sisi tutaona na kusema huku mtaani.
Tanzania hatutaki tena aje atokee kiongozi MFITINI, mbaguzi, mwizi na MWONGO kama Magufuli. Mungu aliipenda sana Nchi yetu ndiyo maana akampeleka jehanam Magufuli siku chache tu baada ya kuiba kura za uchaguzi wa mwaka 2020. Kamwe hatatokea HAYAWANI na FEDHULI mwingine kama Magufuli.
 
Kakuta umeme vijijini umefikia vijiji 4000 yeye akapeleka mpaka vijiji 14,000 (ndani ya miaka mitano tu).

Ukishakunywa mbege migombani unakuja kusema hakuna alichofanya alikuwa anabwata.
Hizo pumba kawape nguruwe ndiyo wanastahili au wape wanao kama unao, siyo kuleta hapa JF kwenye watu wana akili ya kuchambua mambo.

Magufuli alikuwa anatupeleka shimoni na nyinyi wajinga msio na elimu mlikuwa mnamshangilia ujinga na uwongo wake. Bila Mungu kuingilia kati hii Tanzania ilikuwa inakwenda ku collapse economically kama Zimbabwe. Rot in Hell Magufuli
 
1. Ndugu zangu tutembee kifua mberee sisi ni matajiri. Miradi yote hii tunaitekeleza kwa pesa za ndani

2. Nyie Wahaya kwanini Majanga yote yanaanzia kwenu ?

3. Huyu CAG naye ameishajiona na yeye ni Muhimiri mwingine ngoja nimtumbuwe
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Daa.... Sisi wazaramo Mungu atatutumia kama Kuni. Ni wanafiki sana. Wanafiki Duniani sijapata Kuona. Hakuna Miaka mi5 yenye mafanikio kama ya Magufuli. Watu tumeona utendaji uliotukuka. Mimi namchukia Magufuli lakini napozunguka Tanzania naona kazi zake. Haya madaraja,Barabara, Vivuko n.k moyoni nasema jamaa alipiga kazi. Najua inabidi tule na mama pia. Lakini tusiwe wanafiki kiasi ambacho wakati mwingine hata Shetani atashangaa....

Unapita Ubungo ,unapita Tanzanite. Unapita katika Lami Mikoani kwingineko tz hii.tuache unafiq maana huu umekuwa Dini yetu.
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Umeandika kilakitu jumla jumla kama mjinga tu.
 
Hizo pumba kawape nguruwe ndiyo wanastahili au wape wanao kama unao, siyo kuleta hapa JF kwenye watu wana akili ya kuchambua mambo.

Magufuli alikuwa anatupeleka shimoni na nyinyi wajinga msio na elimu mlikuwa mnamshangilia ujinga na uwongo wake. Bila Mungu kuingilia kati hii Tanzania ilikuwa inakwenda ku collapse economically kama Zimbabwe. Rot in Hell Magufuli
Sasa unasema akawape nguruwe wewe unajitoa😂 wewe unataka mashudu? Nguruwe wa kisasa si ndiyo?
 
Yule Baba Alitufanyizia Kazi Sana, Apumzike Kwa Amani
 
Au Basi.
1652854338732.jpg
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Hakuna ubabe pesa
Uhuru unatosha Sana. Mambo ya kuuawana na kutekana yamezikwa Chato. Na haki ya ninihino sukuma gang mtachezea benchi mpk mwisho wa dunia hii
Hahahaha, unafurahisha we jamaa, fatilia duniani kote mtu yeyote hatarishi kwenye nchi yoyote duniani unayoijua wewe mamlaka za nchi zinaweza kumuondoa muda wowote na kwa namna yoyote. Na hapa haijarishi yeye ninani, na nchi inademocrasia kwa ukubwa gani.

Hakuna nchi isiyo na mahakama ila Serikali zote zina mifumo ya kudeal na watu nje ya mahakama. Wakitaka watakupitisha mahakamani wasipotaka hawatakupitisha mahakamani.

Kitu ambacho wewe hukijui nikwamba wewe unawajua watu vile wanavyoishi kwenye jamii ila wanayofanya nyuma ya pazia huyajui. Waache wanaoyajua wadili nao
 
Hakuna ubabe pesa

Hahahaha, unafurahisha we jamaa, fatilia duniani kote mtu yeyote hatarishi kwenye nchi yoyote duniani unayoijua wewe mamlaka za nchi zinaweza kumuondoa muda wowote na kwa namna yoyote. Na hapa haijarishi yeye ninani, na nchi inademocrasia kwa ukubwa gani.

Kitu ambacho wewe hukijui nikwamba wewe unawajua watu vile wanavyoishi kwenye jamii ila wanayofanya nyuma ya pazia huyajui. Waache wanaoyajua wadili nao
Acha kutuletea hekaya za kwenye vijiwe vya kwenye kahawa na baa. Wewe migulubaja ujue nn cha maana?
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Ukweli mtupu
 
Sasa hivi maneno matamu lakini utendaji ni sifuri.
 
Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika.

Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na kuviziana ukabila ukatamalaki mpaka usalama wa taifa.
Hakika mama mungu akupiganie Sana nchi imetulia hakuna tena ubabe wa watu wasiojulikana Wala akina ndugai hawapo tena ambao walikuwa wanajiona wao ndo wenye nchi hii na akili kuliko wengine.
Dalili za upungufu wa akili
 
Ngoja nikukumbushe

1) Hivi sasa asilimia 90 ya vijiji vyote Tanzania Umeme unawaka kupitia pesa za mradi wa Rea

Pesa ambazo zilikuwa zinatafunwa bila ya huruma huku Tanesco wakisema hawana nguzo lakini hadi Magu akufa Tanesco walikuwa na nguzo hadi sehemu za kuziweka hawana wakawa wanaziweka kandokando ya barabara

2) Magali na mizigo ilikuwa inachelewa kutoka bandalini hadi inaingia katika storage na haya yalifanywa kusudi ili wenye bandali kavu aka mafisadi wapige pesa watanzania pamoja na watu wa nchi Jirani kama Malawi na Zambia walikuwa wanateseka sana lakini hadi magu anakufa ilikuwa Meli ikifika tu unawasha gali yako unaondoka

3) Pesa za mradi wa MDP zilikuwa zinatafunwa na watu badala ya kufanya kazi husika lakini hivi sasa barabara nyingi za mitaa zimejengwa kwa kiwango cha rami , mitaro ya maji pamoja na taa

4) Citiscan Muhimbili ilikuwa kila siku ni mbovu na nakumbuka siku aliyotua Dar alianza na hili

5)Kuanzisha kulipia malipo ya serikali kwa kutumia Control number ikapelekea TRA na idara nyingine za serikali kuanza kukusanya pesa nyingi sana

6) Mirahaba inayotokana na migodi ya Barick na Acarcia licha ya vitisho vya akina lisu sijui tutashitakiwa Magu akasema hapana lazima tupate kinacho stahili

7)Kavunja mkataba wa IPTL na Tanesco mkataba ambao ulikuwa mwiba mchungu na mzigo mzito kwa watanzania

8)Elimu bure

9) Reli ya mwendo kasi na Bwawa la Umeme

10)Ndege za kisasa Dream liner na Airbus

Hayo yote na mengine mengi ambayo Magu amefanya hapa siwezi kuandika yote wewe hujayaona wala kuyasikia wewe itakuwa unachuki binafsi
 
Back
Top Bottom