Miaka mitano yote iliisha kwa vitisho na kufokafoka tu hakuna la maana liliofanyika.

Yule hamfikii Mama hata kidogo.
Ufisadi
Ujizi
Urasimu
Kukwepa kodi
Rushwa
Dawa za kulevya
Upigaji
Madokezo
Per diem
Vyeti feki
Watumishi hewa
Unanijua mi ni nani
Nafasi za ki-ukoo
Watumishi hewa
Merging of systems
Madaraja ya mseleleko
Annual increment

Vingapi vilipita na wewe au watu wako wa moyoni mzee!

Muda wenu imerudi, kila la kheri
 
Kafokaaa hadi kakata moto
 
Aliwakosa nini mpaka muamue kumkatishia maisha kama hakuwa threat kwenye affair zenu?.Majizi matupu.
 
Wewe pimbi huwajui wasukuma! Makonda nae sio msukuma? Maana kila mtu akiwa anasimamia anachoamini mnasema sio msukuma! Je mbunge Joseph Lasheku Musukuma vipi kuhusu yeye?
 
Yote hayo yanazidiwa na Airport Kijijini.
 
Wewe pimbi huwajui wasukuma! Makonda nae sio msukuma? Maana kila mtu akiwa anasimamia anachoamini mnasema sio msukuma! Je mbunge Joseph Lasheku Musukuma vipi kuhusu yeye?
... wote hao uliotaja hawajafikia hata nukta moja ya yule dhalimu kwa kujitukuza; mwanadamu aliyetamani kuwa kama malaika huyo sio wa kawaida.
 
Yule hakuwa Msukuma bali aliutumia Usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa sababu Wasukuma ni kabila lenye idadi kubwa sana ya watu. Wasukuma hatuko hivyo Yule ni Mhutu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
... umefafanua vizuri sana. Hawezi kuwa msukuma asilia yule; wasukuma kwa asili hawana tabia za aina ile. Ule wa kwake ulikuwa usukuma wa kufikia kwa malengo yake ya kisiasa not otherwise.
 
Mpaka sasa bwawa la Nyerere lingeshatoa maji na umeme ungeshawaka na viwanda vingeshafanya uzalishaji, SGR ingeshapiga kazi
 
... wote hao uliotaja hawajafikia hata nukta moja ya yule dhalimu kwa kujitukuza; mwanadamu aliyetamani kuwa kama malaika huyo sio wa kawaida.
Wewe mpuuzi tu! Huyo bibi yako kafanya lipi?
 
Ulifanyika ufisadi na uharibifu wa uchumi mkuu,yule mtu wenu alikuwa foolish Sana 👇





 
JPM alikuwa jamii za kina Patrice Lumumba, Laurent Kabila, Mahlangu, Abeid Karume, Ahmed bin Bella, Hugo Shavez, Mohamed Mursi and Fidel castro

hachafuki kwa kuandikiwa makala …namna bora ya kumchafua ni kuwaletea maendeleo Wanyonge yale maendeleo ya kweli aliyokuwa anayaleta yeye kwa kiwango cha juu zaid yake

otherwise mnajidanganya

leo hii wote ( Wahuni, Zitto, Mbowe n.k) mkae kushoto na kivuli chake kikae kulia atapata 90% ya kura za Wanyonge

mie naishi uswazi na huo ndio usahihi
 
Mkimaliza kucheza movie zenu za royal tour mlizo shoot kwa b 7 mtustue sisi wakubwa 2025 tufanye yetu ..
 
Rais SSH ni mpango wa Mungu. Hakika baada ya yule Shetani wa Chato ambaye alikuwa anatugawa kiitikadi na kikabila, akiua na kutudanganya, tumepata kiongozi mwenye upendo, mcha Mungu na anayeipenda nchi yetu kwa dhati. Tanzania Iko salama sana mikononi mwa Samia
 
Wewe ni mbwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…