Miaka miwili bila uhusiano/ uzinzi iliyopelekea nionekane mwendawazimu machoni mwa watu

Kuna tafiti inasema wanawake kufanya ngono mara kwa mara kunaathiri uwezo wao wa kudumu kwenye ndoa.

Hii sielewi imekaaje, ukizingatia kuna juhudi kibao za kutoa uhuru kwa jinsia zote, kwenye mambo yote.
Nakubaliana na huo utafiti, mwanamke akiwa mtu wa kufanywa mara kwa mara hasa kabla ya kuolewa anakuwa na nafasi kubwa sana ya kuiharibu ndoa yake, as wanaendeshwa na hisia kuliko uhalisia.
 
Hadi nakwosa la Kusema πŸ€”πŸ€£kmmae wee utakua unakula mrenda wa mikono sana
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€” duh! Inafkirisha 2 years bila kubadilisha oil kwl, aiseee ebu nenda clinic tatzo unamatatzo ya afya ya akili lakn ujui wai mapema kwa ushaur
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€” duh! Inafkirisha 2 years bila kubadilisha oil kwl, aiseee ebu nenda clinic tatzo unamatatzo ya afya ya akili lakn ujui wai mapema kwa ushaur
Huo ndyo mtazamo wa jamii zetu, kwamba usipo fanya ngono inaonekana una matatizo ya akili πŸ˜”πŸ˜”
 
Kuna mtu hafanyi ngono ni kwa sababu hana wa kufanya nae na mwingine hafanyi kwa sababu za kiimani

Mtoa mada kwanini haujafanya for 2 years??
 
Walikuona mwendakuzimu sababu ulokuwa unashindia kunyeto na kuamkia punyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…