Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hater.Angefaa kuimba singeli au mchiriku. Na sura yake plus muonekano wake havina shukrani pesa imegoma kumbadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hater.Angefaa kuimba singeli au mchiriku. Na sura yake plus muonekano wake havina shukrani pesa imegoma kumbadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize Aslay na Beka Flavour wapo wapi.Mbosso akijitegemea angekua mbali zaidi. Nyumba yake binafsi na gari kali zaidi. Sio ile Lexus ya mkopo kutoka WCB
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuwa hater. Nimchukie kwa lipi labda maana hata simjui.. nashangaa tu muonekano wake umebaki wa kibuzabuza, pesa inabadilisha mtu bana.Hater.
Weka wewe muonekano wako tuuone .Siwezi kuwa hater. Nimchukie kwa lipi labda maana hata simjui.. nashangaa tu muonekano wake umebaki wa kibuzabuza, pesa inabadilisha mtu bana.
Sina team yoyote mimi ni mshabiki wa muziki wowote mzuri haijalishi kaimba nani awe kiba, hamorapa ,mondi, giggy..twende kazi.
Sina pesa...sio celebrity, my appearance doesn't matter to anyone.Weka wewe muonekano wako tuuone .
Kumbe ya kwako yanakushinda.Sina pesa...sio celebrity, my appearance doesn't matter to anyone.
Ila maneno ulimwambia sio mazuri kabisa alafu sisi wanaume atujaumbwa Tuwe na sura nzuri Kama mama zetu mbona hata harmonize ana sura mbaya na anafanya mziki kinachoangaliwa ni talent yako sio sura yako ingekuwa hivo hemed PHD au Belle 9 wangekuwa ndio top star wa Tanzania.Mboso talent yake ni kubwa ndomaana tunampenda na nyimbo zake nzuri.Siwezi kuwa hater. Nimchukie kwa lipi labda maana hata simjui.. nashangaa tu muonekano wake umebaki wa kibuzabuza, pesa inabadilisha mtu bana.
Sina team yoyote mimi ni mshabiki wa muziki wowote mzuri haijalishi kaimba nani awe kiba, hamorapa ,mondi, giggy..twende kazi.
Bora ungesema abadilishe muonekano wake uwe classic Kama ukubwa wa jina lake ningekuelewa kuliko kumdhiaki kwa sura yake au unataka apake mkorogo Kama Vincent kigosi Ray ili uridhike.Mimi sizungumzii sura yake, hana sura mbaya yupo kawaida. Kwani Diamond ana uzuri gani? Mlikuwa mnamuita Domo now pesa imemtembelea hata hilo domo hatulioni tena, hata harmonize kabadilika hajakaa tena kishambashamba. Sijui kama unanielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hili tu unabisha basi ukapimwe akili.
Huyo joanah anatakiwa kupelekwa kwa Mwamposa akakanyage mafuta ili kuondoa roho mbaya ya ChukiHuu ni uchawi wa kiwango cha lami.
Uzi haujawekwa audio wala video ila umekufanya umezijua nyimbo zake zote ambayo ukuwai zisikia na ukaona zote sio nzuri.
Punguza upunguwan aisee.
Hasa zile za kuanzia saa 4[emoji445]Nakutahadharishaa simu za usiku punguzaa[emoji444][emoji445] huu wimbo naupenda Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nionyeshe sehemu niliyoizungumzia sura yake. nimesema muonekano. Mbosso hana sura mbaya ila anauonekano wa kilughalugha. Nadhani sasa utakuwa umenielewa.Bora ungesema abadilishe muonekano wake uwe classic Kama ukubwa wa jina lake ningekuelewa kuliko kumdhiaki kwa sura yake au unataka apake mkorogo Kama Vincent kigosi Ray ili uridhike.