Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Mbosso akijitegemea angekua mbali zaidi. Nyumba yake binafsi na gari kali zaidi. Sio ile Lexus ya mkopo kutoka WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize Aslay na Beka Flavour wapo wapi.

Jiulize pia kabla Mbosso hajaja WCB alikuwa anawafikia hao watu kuanzia uimbaji,mafanikio na fanbase, je vipi kwa sasa hao akina Aslay na Beka wanamfikia Mbosso?
 
Siwezi kuwa hater. Nimchukie kwa lipi labda maana hata simjui.. nashangaa tu muonekano wake umebaki wa kibuzabuza, pesa inabadilisha mtu bana.
Sina team yoyote mimi ni mshabiki wa muziki wowote mzuri haijalishi kaimba nani awe kiba, hamorapa ,mondi, giggy..twende kazi.
 
Weka wewe muonekano wako tuuone .
 
Siwezi kuwa hater. Nimchukie kwa lipi labda maana hata simjui.. nashangaa tu muonekano wake umebaki wa kibuzabuza, pesa inabadilisha mtu bana.
Sina team yoyote mimi ni mshabiki wa muziki wowote mzuri haijalishi kaimba nani awe kiba, hamorapa ,mondi, giggy..twende kazi.
Ila maneno ulimwambia sio mazuri kabisa alafu sisi wanaume atujaumbwa Tuwe na sura nzuri Kama mama zetu mbona hata harmonize ana sura mbaya na anafanya mziki kinachoangaliwa ni talent yako sio sura yako ingekuwa hivo hemed PHD au Belle 9 wangekuwa ndio top star wa Tanzania.Mboso talent yake ni kubwa ndomaana tunampenda na nyimbo zake nzuri.
 
innocent dependent, Mimi sizungumzii sura yake, hana sura mbaya yupo kawaida. Kwani Diamond ana uzuri gani? Mlikuwa mnamuita Domo now pesa imemtembelea hata hilo domo hatulioni tena, hata harmonize kabadilika hajakaa tena kishambashamba. Sijui kama unanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sizungumzii sura yake, hana sura mbaya yupo kawaida. Kwani Diamond ana uzuri gani? Mlikuwa mnamuita Domo now pesa imemtembelea hata hilo domo hatulioni tena, hata harmonize kabadilika hajakaa tena kishambashamba. Sijui kama unanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ungesema abadilishe muonekano wake uwe classic Kama ukubwa wa jina lake ningekuelewa kuliko kumdhiaki kwa sura yake au unataka apake mkorogo Kama Vincent kigosi Ray ili uridhike.
 
Huu ni uchawi wa kiwango cha lami.

Uzi haujawekwa audio wala video ila umekufanya umezijua nyimbo zake zote ambayo ukuwai zisikia na ukaona zote sio nzuri.

Punguza upunguwan aisee.
Huyo joanah anatakiwa kupelekwa kwa Mwamposa akakanyage mafuta ili kuondoa roho mbaya ya Chuki
 
Mwisho wa siku nyimbo zote alizoimba, Jina, YouTube Chanel, Fans wote ni mali ya WCB.

Siku wakimchoka wakampiga anaenda kuanza upya
 
Bora ungesema abadilishe muonekano wake uwe classic Kama ukubwa wa jina lake ningekuelewa kuliko kumdhiaki kwa sura yake au unataka apake mkorogo Kama Vincent kigosi Ray ili uridhike.
Hebu nionyeshe sehemu niliyoizungumzia sura yake. nimesema muonekano. Mbosso hana sura mbaya ila anauonekano wa kilughalugha. Nadhani sasa utakuwa umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom