Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Miaka miwili imetimia tangu ndugu Karia aingie madarakani lakini hakuna ishu ya msingi aliyoifanya anazurura zurura tuu na wakina Makonda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally MayayHivi wagombea wenzake kwenye nafasi ya urais walikuwa wakina nani?
Ally Mayay alipaswa kuwa rais wa TFF.Ally Mayay
Richard Shija
Mwakalebela
Naunga mkono hojaAlly Mayay alipaswa kuwa rais wa TFF.
Kwani Samaki anataga Mayai?Ally Mayay alipaswa kuwa rais wa TFF.
Kwani kabla yake kuna kitu gani kiliwahi kufanyika?huyo hamna kitu kabisa ni kama tifu tifu haina Rais...
Hata kama ila huyu katia nuksi zaidiKwani kabla yake kuna kitu gani kiliwahi kufanyika?
Angalau huyu tumeona Taifa Stars imecheza fainali za AFCON. Hao wengine tumeshuhudia lipi angalau moja?Hata kama ila huyu katia nuksi zaidi
Naweza kukubaliana na wewe ukiniambia ni uongozi upi uliofanya vizuri... na kwa kigezo gani? Kama ligi kupata wadhamini ndio kigezo chako basi bado siko upande wakoAsprin huyo jamaa naona anaangalia maslahi yao tuu sio kwa vilabu sijaona akijishughulisha kupata wadhamini wa ligi hata kwa vilabu vidogo kama watangulizi wake walivyofanya...
Yaan tangu kaondoka Mzee Ndolanga aliekuwa hana sapoti yeyote ya Serikals sijaona lolote la maana la Tenga, Malinzi wala huyu Wallace pamoja na sapoti yote ya Serikal
Ameiwezesha Taifa Stars kufuzu Afcon baada ya miaka 39, ameongeza timu za ligi kuu kutoka 16 mpaka 20, ameimarisha soka la wanawake na mfano mzuri ni hao Tanzanite, Ameanzisha ligi ya wanawake, ameboresha/kuanzisha mashindano ya vijana ya umri tofauti tofauti kwa lengo la kuvumbua vipaji, nk.
Jamaa yupo smart sana,kacheza mpira wa Tz kwa kiwango kikubwa,ni msomi wa masters ya Biashara, anacheti cha ukocha,kwaujumla anaujua mpira na changamoto zakeAlly Mayay alipaswa kuwa rais wa TFF.