Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Wakuu niambieni
Ajira ya kwanza nimeajiriwa 2017 mshahara 780,000 bila makato
Kazi ya pili 2018
Mshahara 1.5M ukitoa makato 1M net mfukoni, bado safari laki 6 kila wiki mbili
Kazi ya tatu 2020
Mshahara m2.3
Ukitoa makato 1.6 M marupu rupu 70k kwa wiki
KAZI IMEISHA SASA
LAKIN HAYA YOTE SINA CHOCHOTE?
Sina gari, piki piki wala kausafiri
Sina biashara sina akiba
Nina kibanda kama geto tu.
Kifupi miaka yote hiyo ilikuwa ni ya kupoteza hela.
Siyo mlevi, nakunywa kawaida hata laki kwa mwezi haizidi kipindi nna kazi. Sio malaya kusema nahonga, kifupi mi ni bahili kisenge.
Sibeti...
Sasa kama mara mbili hivi nilipata Mganga wa kupiga ramli kuna electronics na laptop ya ofic niliibiwa katka mazingira ya kutatanisha. Kuna manzi nilikua nae ndo kaniunganisha.
Jamaaa akasema Laptop ipo na wafanyakazi wenzio itarud,,, baada ya siku tatu ikarudi (maelezo wanayoongea hata hayaeleweki)
Hapo nikapata iman ya kujiuliza ambayo huwa naona siyaelewi kwene maisha ikiwepo hili la hela.
Jamaa akaniambia Wamekutengeneza HELA ISIWE INAKAA IWE INAPITILIZA MIAKA NENDA RUDI HUTAKAA UFANYE CHA MAANA
Nikiwaza kama naamini kwan binafsi ni narafiki zangu walevi ,malayaa wanafuja hela lakini vitu wanavyofanya vinaonekana .Mi had huwa wananiuliza we jamaa unapeleka hela wap😳