Mada hii haiwahusu wale waliorukwa na akili kwa asilimia 100, wale wa kufungwa kamba na magogo,....! Lakini nao wakitulia kuna baadhi ya akili na hisia huwarudi. Kichaa anajua thamani ya hela Atafanya vituko vyote ukimpa hela kama hatatabasamu na kuipokea, ataichukua na kuisunda.. Na lazima...
www.jamiiforums.com