Ulitenda kwa welediKuna watu wa aina hiyo wengi humu. Mkipishana mawazo hasa jukwaa la siasa, atakuwinda ili akutukane na kukudhalilisha. Pale ndiyo huwa siogopi bans wala maandazi. Kuna siku nilitaka kuandika neno "hallucinations" lakini likajitype neno lingine. Mtu akapata pa kunitukana. Nilimjibu kwa hekima na tahadhari lakini hakutosheka. Nilimvumilia tu. Nashukuru nilikuwa sijatoa nishai kidogo. Ningeharibu. Lord have mercy!