Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Hongera sana kwa kutimiza umri huo Jf, pia hongera kwa kuwa member pekee unayeleta posts zenye imani asilia za uafrika wetu.

Pamoja na hayo nikuombe uache hulka za ukabila na ukanda,,,, acha kabisa huo ubaguzi, ni mbaya sana ikiendelea kumea akilini mwako!!!

Wasalaam!!

Sent using Jamii Forums mobile app
sikuwa nalijua hili la ukabila na ukanda,ngoja nifuatile
 
Hongera sana mkuu Kwa kutimiza miaka sita tangu ujiunge jukwaa hili pendwa nchini Tanzania na Africa mashariki..

Nina maswali machache naomba unijibu Mshana Jr
1.Hivi kweli Demiss ni mkeo
2.umewahi pigwa ban mara ngapi?
3.umewahi Pata madhara (chanya au hasi) yeyote nje au ndani ya JF kutokana na mada zako hasa zile zenye mlengo wa kiganga (tiba asili)..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom