Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Mi ndo nimejiunga jana mkuu ila ni msoma wa mudamrefu humu.Nisaidie namna ya kurekebisha username yangu nimekosea na sijui hatua.
 
Hongera sana Mshana Jr. Nimekua nikikusoma sana about three years untill now i also decided kujiunga jamvini
 
Kuirudisha acount uliyo isahau jf unafanyaje maana maana ktk mizunguko ya kimaisha nikajikuta nikaisahau acount yangu ya jf ya mwanzo kabisa 2010

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom