Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,651
Hilo ulilonena ni dua njema!....ni zaidi ya Buku nililopendekeza nawe ubarikiwe katka harakati zako. Allah awaweke mbali wale wenye husda na kijicho juu yako
Hilo ulilonena ni dua njema!....ni zaidi ya Buku nililopendekeza nawe ubarikiwe katka harakati zako. Allah awaweke mbali wale wenye husda na kijicho juu yako
Inshallah [emoji120][emoji120][emoji120]Hilo ulilonena ni dua njema!....ni zaidi ya Buku nililopendekeza nawe ubarikiwe katka harakati zako. Allah awaweke mbali wale wenye husda na kijicho juu yako
😀 😀 😀Hongera sana chief,eti ni kweli kilingeni kila siku kunachinjwa kuku na mbuzi? huko vyuma havijakaza kabisa.
Duu why so...ID 1 ~ 7 yrs , ID 2 currently one [emoji121]️- 5 yrs [emoji28]....i'm in love with JF
Hongera sana Mr. Mshana napenda sana mada zako zinazohusu mila/desturi za kiafrika (Uchawi) ubarikiwe sana kijana na Mungu akupe nguvu na tambo za kuelezea uchawiKipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwashuru wafuatao
Mungu Mwenyezi baba wa mbinguni
Wazazi wangu
Familia yangu
Ndugu zangu, jamaa na marafiki
Members wote wa Jamii Forum
Uongozi mzima wa Jamii Forum
Hakika kila mmoja kwa nafasi yake amechangia mimi kuwa mimi ndani ya kipindi chote cha miaka sita... Asanteni sana
Hii ni sehemu ya kile nilichofanya ndani ya kipindi hicho chote.. In case you missed one of these topics...
ile chupi ikaanguka mbele ya wote
mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
paji la uso na siri ya jicho la tatu
makaburini ni sehemu iliyojaa upweke
kuna watu hufa mara mbili
vituko vya mochwari
meditation ngumu kuliko zote ni ile ya kifo
kwanini ukimwangalia usoni aliyelala huamka?
Adam pekee ndie mwanaume ambaye hakuwa na vinasaba vya kike
Bibi Tina wa mwananyamala
professionals and ameteurs
uwezo wa kuongea na wafu elimu iliyoshindikana duniani
kiingilio cha madhabahu za giza
kuna familia zina laana ya asili
Dr. Louis Shika: under cover agent aliyenusurika kifo uhai?
kuna ardhi zimevimbiwa maovu
wafu hawana madhara ogopa walio hai
Tiba mbadala ya chumvi
mochwari: chimbo muhimu la wachawi na waganga
dhambi ambayo hata shetani huikimbia
dhana ya kurudia kitu mara tatu na uumbaji wa roho
sanaa ya kifo
a day in the Buddhist college
Nknk
Ni kupitia mada hizi na nyingine nyingi niliweza kuongeza na kupanua ufahamu wangu kwa kiwango kikubwa mno
Ni kupitia mada hizi niliweza kupata marafiki wengi lakini na haters pia.. Sukuwahi kumchukia hata yule ambaye kwa sababu zozote hatukwenda sawa...
Mimi ni binadamu kama wengine si mkamilifu ninaposherehekea miaka sita ndani ya Jamii Forum nachukua nafasi hii kuomba radhi kwa yoyote yule ambaye kwa namna moja ama nyingine alikwazika na maandishi na mitazamo yangu
Asanteni sana
Jr[emoji769]
19 August 2018
Msata kilingeni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji23]Hongera sana Mr. Mshana napenda sana mada zako zinazohusu mila/desturi za kiafrika (Uchawi) ubarikiwe sana kijana na Mungu akupe nguvu na tambo za kuelezea uchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuhusu weye mkuu.Mambo mengine ni ya ajabu kabisa! Sasa hyo miaka sita sisi inatuhusu nn? Hauna kazi ya kufanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120]Am humbled...!Hongera mkuu.Uwepo wako unahitajika zaidi. Bra... Brav... Bravo!
Ni sahihi. Nambebea makabrasha kutoka mochwari. Take it easy, boss! We've got no biff!