Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #41
Unavyopenda comment, ningeshangaa kama usingejibu! Nahisi kila comment unaingiza buku
Duu pole sana... Ila ungewaomba wakurejeshee ID zako za mwanzo halafu waziunge iwe mojaMimi kwa mara ya kwanza nilijiunga jf 2008 kipindi Lowasa anajiuzuru nimeenda wakanipiga ban nimekaa hadi nikasahau password nikafungua account nyingine nimekaa nayo hadi 2002 hadi siku moja tulibishana na mwiguru nchemba jf wakaamua kunipa ban tena nilikaa muda mrefu kama miezi kadhaa ndio nikaamua kufungua account hii nitumiayo kwa sasa, moderator mda mwingine mnapiga ban bila sababu ya msingi sijui mnakua na stress gani
Sent using Jamii Forums mobile app
😳 😳 😳 😀 😀 😀Basi Mshanajr nkajuaga ni wewe aisee,
Pia Mkuu unafanana na Lemutuz kimtindo, ni ndugu yako yule jamaa??
[emoji120][emoji120][emoji120]Meditation ni mada iliyonivutia sana...Sikuwa nimejiunga Jf zaidi ya kuperuzi tu...Kila nilikuwa nikiperuzi ilikuwa lazima nianze nayo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na weye sasa huo ni ushari.Unavyopenda comment, ningeshangaa kama usingejibu! Nahisi kila comment unaingiza buku
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu why so...
Sent using Jamii Forums mobile app[/
Shortly ban za mara kwa mara na muda mrefu ndio zilipelekea hayo yote mkuu na wala si kwa nia mbaya.
We ni jinsia gani? Maana unanipa wasiwasi sanaNa weye sasa huo ni ushari.
Ukikuta mwanamke utaleta posa. Acha kujitoa akili. 8Acha ushari. Unakuwa mpukunusi kama nungunungu...!!?
Mambo mengine ni ya ajabu kabisa! Sasa hyo miaka sita sisi inatuhusu nn? Hauna kazi ya kufanya?
Sent using Jamii Forums mobile app
@mla bata wapuuzi hawajibiwi... Read between the lines about multiple ID'sMember since 23/ August
Hatushangai hiyo comment yako iliyojaa harufu ya upumbavu na chuki zisizo na msingi,
Kwenye maisha yako popote utakapokuwa jifunze kuwa Positive itakusaidia kuficha ujinga wako.
Ngoja nitajaribu kuwasiliana nao, nitafurahi kama wakifanya ivo!Duu pole sana... Ila ungewaomba wakurejeshee ID zako za mwanzo halafu waziunge iwe moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaa! Vipi kuhusu umri wa kuzaliwa mkuu wangu?Mshana Jr. Kumbe mm ni muhenga zaid yako. Mm nimejiunga JF wakat bado ni Mtoto sana. Nilikuwa kama nna miaka 10 na hivi
Sent using Jamii Forums mobile app