Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Mimi leo Nimetimiza Miaka mitano Pia tangu nijiunge Hapa Jamvini ni tumepishana Mwaka mmoja umenitangulia, Tumejiunga siku moja Agu 19 miaka ndo tofauti
 
Hongera sana Mshana Jr!!! Sasa hatugongi glass au vyombo? [emoji482]🥃[emoji481][emoji484]!!! Maana miaka sita si mchezo!!! Ili hata wale haters wako wasuuzike na roho zao!!!
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom