Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Kila tokeo la kimwili bila kujali kama ni chanya ama hasi asili yake ni roho ama rohoni... Hakuna kitu kisicho asili na roho ama nguvu isiyoonekana.... Hata huyu Mungu mkuu anayebishaniwa kila siku uwepo wake ni kinyume cha miungu ile ya kuchonga ile inayoonekana kwa macho..... Hata haya macho... Maslahi ya kiroho kwenye matokeo tasa ya kimwili yaliyoharibika
 

Usianzishe biashara wala kutafuta kazi kupitia waganga wa kienyeji
 

Vichaa wanaheshimu mambo matatu! Pesa magari na mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…