adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 28, 2024 Thread starter #121 Rhz4567 said: Ndy maana sikuhz sicomment sana labda nione mkongwe wa jf kaandika kitu. Click to expand... Wakongwe nao hawapo nyuma kwenye kuandika pumba.
Rhz4567 said: Ndy maana sikuhz sicomment sana labda nione mkongwe wa jf kaandika kitu. Click to expand... Wakongwe nao hawapo nyuma kwenye kuandika pumba.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 28, 2024 Thread starter #122 Grahams said: Mwaka 2015 upo kidato cha Kwanza, ina maana kama utakuwa ulisoma Masomo ya Sayansi na ukaenda Chuo Kikuu kusoma Engineering, utakuwa unaingia Mwaka wa nne kukamilisha miaka minne ya Engineering ππππ Kweli miaka inakimbia, hongera sana Click to expand... Ahsante sana , ndio bado Niko chuo mkuu
Grahams said: Mwaka 2015 upo kidato cha Kwanza, ina maana kama utakuwa ulisoma Masomo ya Sayansi na ukaenda Chuo Kikuu kusoma Engineering, utakuwa unaingia Mwaka wa nne kukamilisha miaka minne ya Engineering ππππ Kweli miaka inakimbia, hongera sana Click to expand... Ahsante sana , ndio bado Niko chuo mkuu
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Nov 28, 2024 #123 adriz said: Ahsante sana , ndio bado Niko chuo mkuu Click to expand... Hongera sana Mkuu kuweza ku-pursue Masomo ya ndoto yako Kila la heri kwenye Masomo yako
adriz said: Ahsante sana , ndio bado Niko chuo mkuu Click to expand... Hongera sana Mkuu kuweza ku-pursue Masomo ya ndoto yako Kila la heri kwenye Masomo yako
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Dec 2, 2024 Thread starter #124 Grahams said: Hongera sana Mkuu kuweza ku-pursue Masomo ya ndoto yako Kila la heri kwenye Masomo yako Click to expand... Aamiyn , shukrani sana mkuu.
Grahams said: Hongera sana Mkuu kuweza ku-pursue Masomo ya ndoto yako Kila la heri kwenye Masomo yako Click to expand... Aamiyn , shukrani sana mkuu.
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Dec 2, 2024 #125 adriz said: Aamiyn , shukrani sana mkuu. Click to expand... Usisahau kutupa mwaliko wa mahafali yako hapo mwakani Mungu akitujaalia ππ
adriz said: Aamiyn , shukrani sana mkuu. Click to expand... Usisahau kutupa mwaliko wa mahafali yako hapo mwakani Mungu akitujaalia ππ
Smooth Criminal JF-Expert Member Joined May 13, 2024 Posts 437 Reaction score 867 Dec 2, 2024 #126 Anyway, Kwani shule zimeshafunga? Naona mmesharudi
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Dec 13, 2024 Thread starter #127 Smooth Criminal said: Anyway, Kwani shule zimeshafunga? Naona mmesharudi Click to expand... Bado hazijafungwa .
Smooth Criminal said: Anyway, Kwani shule zimeshafunga? Naona mmesharudi Click to expand... Bado hazijafungwa .
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Dec 13, 2024 Thread starter #128 Grahams said: Usisahau kutupa mwaliko wa mahafali yako hapo mwakani Mungu akitujaalia ππ Click to expand... Shukran sana i mkuu , utapata mwaliko tu panapo majaaliwa.
Grahams said: Usisahau kutupa mwaliko wa mahafali yako hapo mwakani Mungu akitujaalia ππ Click to expand... Shukran sana i mkuu , utapata mwaliko tu panapo majaaliwa.