LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Usiombe hali hiyo irudi babu, tutakimbiana! Wagonjwa walikonda balaa! Vichwa vilibaki mafuvu, mifupa mitupu mwili mzima umepotea. Wagonjwa walijiharia vitandani full kukohoa. Kuuguza mgonjwa wa UKIMWI mapaka siku ya kufa ifike ilikuwa shughuli pevu nyumbani mnaachiana zamu usiku na mchana. Ilikuwa ni kasheshe kazeze!