Miaka ya 2000 mwanzoni UKIMWI ulikuwa tishio, ule wakati ulikuwa ukipata slim unageuka kuwa kama zombi huku watu wakikuhesabia siku. Tusichukulie poa

Miaka ya 2000 mwanzoni UKIMWI ulikuwa tishio, ule wakati ulikuwa ukipata slim unageuka kuwa kama zombi huku watu wakikuhesabia siku. Tusichukulie poa

Usiombe hali hiyo irudi babu, tutakimbiana! Wagonjwa walikonda balaa! Vichwa vilibaki mafuvu, mifupa mitupu mwili mzima umepotea. Wagonjwa walijiharia vitandani full kukohoa. Kuuguza mgonjwa wa UKIMWI mapaka siku ya kufa ifike ilikuwa shughuli pevu nyumbani mnaachiana zamu usiku na mchana. Ilikuwa ni kasheshe kazeze!
 
Nakumbuka hata neno ukimwi likitajwa ,moyo wako unaenda mbio sana maana ilionekana ni mtoa roho. Hata kuna jamaa walikuwa wakikonda ghafla kidogo walikuwa wakihusishwa kuwa na ngoma.

Yani ilikuwa ukipata hili dude haukai sana, hata familia yako inakataa kukuhudumia wakidhani hata kukugusa tu na wao wanaupata.

Watu wengi walikuwa wanasema ukimwi umeletwa na Mungu kwa sababu ya hasira yake juu yetu ndio maana hauna tiba.

Ulifyeka watu kwa kasi sana kupelekea karibia kila nyumba kuwa na mwanajamii, jirani, ndugu, etc anaeumwa ukimwi. Duh ilikuwa tishio, watoto waliachwa yatima wengi sana kupelekea ongezeko kubwa la watoto wa mtaani in early 2010s.
View attachment 3219864
View attachment 3219865
Hakukuwa na Arv wala haikujulikana namna ya kujikinga. Is why hali zilikuwa zinafika critical. Lakin ungewakuta watu wamejipanga, ARV, semina na elimu . Hali isingekuwa mbaya sana
 
Tramp kapiga mkwara misaada yake, maisha yataendelea, ARV zitaendelea kupatikana kwa namna nyingine serikali haitakubali wananchi wake wafe kwa kukosa dawa hizo
 
Tramp kapiga mkwara misaada yake, maisha yataendelea, ARV zitaendelea kupatikana kwa namna nyingine serikali haitakubali wananchi wake wafe kwa kukosa dawa hizo
😂😂😂
Ila still chukua hatua mzee
 
Ngoma umeme miwaya ngwengwe luku gridi ya taifa moto..
Hayo meneno yatarudi kwa kasi kitaa!
 
Tramp kapiga mkwara misaada yake, maisha yataendelea, ARV zitaendelea kupatikana kwa namna nyingine serikali haitakubali wananchi wake wafe kwa kukosa dawa hizo
Wewe sema vile tu prem court imestopisha hiyo amri. Else walishaanza kutoa mlio
 
Back
Top Bottom