Miaka ya 2000's nlifungua Internet Cafe. Ndipo nlipoanzia kupiga bingo na kupasua mioyo

Hahahah kila kitu cha zamani kweli kilikuwa kizuri.hata watu walikuwa wakinywa sumu wanalewa tuu.kunywa sumu sasahivi uone dkk 2 unauma ulimi.
Kabisa mambo yamebadilika sana....tena dk 2 nyingi.sekunde tu umekauka. Miaka ile mtu anakunywa sumu anaishia kusinzia tu. Akinyweshwa maji anatapika.
 
Pole kubwa jinga,na bwege nituzie
 
hahahaha hata sasa watakuambia wanakula bata na zama zile tulikuwa wanashamba tu.
 
Nimbuzz
Hi5
Waptrick
MSN.com
skype

Floppy disk
Walkman sony CD

Maisha haya yana kwenda kasi kipindi hiko uwezi kuangalia Video kwenye internet kama ujaweka Flashplayer soft.

Kompyuta za zamani zilisumbua driver kama sound na graphic.
 
Kwa mlioluwa na café enzi hizo Kongole kwenu💪 Mm nlkua nafanya Cafe 1 Somewhere Town You Know! Kuna mzee mmoja alkuwa anakuja kucheck P0rn anakaa more than 2 hr sasa na mm ndio nlkua Server Controll namchekibtu sites anazoperuz asee ilkua ni balaa Sema saiv namm niko napiga mishe zangu kama sio uzembe ningekuwa na Nyumba 5 saiv ukiacha zile za Kivule,Magomeni na Mw/nyamala anyway kagari ninacho cha Kuzugia too japo ka-Toyota Harrier🤣😁
 
Nimbuzz
Hi5
Waptrick
MSN.com
skype

Floppy disk
Walkman sony CD

Maisha haya yana kwenda kasi kipindi hiko uwezi kuangalia Video kwenye internet kama ujaweka Flashplayer soft.

Kompyuta za zamani zilisumbua driver kama sound na graphic.
Zile computer memor Ram 250 MB.... na hard disk 20GB 🤣🤣🤣🤣
 
Nimbuzz
Hi5
Waptrick
MSN.com
skype

Floppy disk
Walkman sony CD

Maisha haya yana kwenda kasi kipindi hiko uwezi kuangalia Video kwenye internet kama ujaweka Flashplayer soft.

Kompyuta za zamani zilisumbua driver kama sound na graphic.
Kbsa ww unajua sana hizi mambo
 
🤣🤣🤣🤣 Hebu mtafute huyo mzee siku moja aliyekuwa anakuja kuongeza maujuzi..... Utakuta mzee mmoja anaheshimika kitaa... Wanamwita Mzee wa Kanisa au Ustaadhi.
 
Reactions: Gef
Kwa DAR internet cafe
*sinza kuanzia mugabe mpaka sinza kijiweni.
*magomeni mwembe chai sasa ni marehemu na kuna dada mmoja simkumbuki.
*magomeni mapipa hapo sea boyz na wengine.
*makumbusho milineum tower kwa MC michael na viunga vyake.
*Posta samora hapo na viunga vyake.

Maisha haya
 
🤣🤣🤣🤣 Hebu mtafute huyo mzee siku moja aliyekuwa anakuja kuongeza maujuzi..... Utakuta mzee mmoja anaheshimika kitaa... Wanamwita Mzee wa Kanisa au Ustaadhi.
Huyo mzee alkua na heshima sana enzi hizo alikuwa na Land Cruiser Tx watu wote walikuwa wanamheshimu hapo Stand
 
Tumetoka mbali sana.... Hapa nisiseme sana huchelewi kunigundua mimi ni nani....maana humu ndani ngoja tubaki hivi hivi tu.....🤣
 
Kipindi hicho tupo mzizima ...wanafunzi wanatoka school kwenda kucheki porns kwenye internet cafe za wahindi pale upanga!! Dah time flies so fast!!

Enzi za VHS na VCD...I got my first desktop in early 2000
 
Wewe ulikuwa mjanja miaka hiyo kuwa na computer. Mimi laptop yangu nliipata 1999 ilikuwa nzito balaa.... Tunacheza games za karata kwa sana. Baadaye game ya Draft ya kuwavua nguo wale warembo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…