Binadamu ni kiumbe hatari sana kwa maisha ya viumbe wengineNakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala.
Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe sana kwa uzito. Lazima tuangalie future.
Serikali ijitahidi sana ili wamasai wenyeji wapate ufumbuzi.
Sasa hivi Kuna Panya roadNakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala.
Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe sana kwa uzito. Lazima tuangalie future.
Serikali ijitahidi sana ili wamasai wenyeji wapate ufumbuzi.
Na watoto wa mambaSasa hivi Kuna Panya road
Ukiona mtu hataki kushika eneo kuwa eti porini jua akili hana
Sometimes vice versa is true.Binadamu ni kiumbe hatari sana kwa maisha ya viumbe wengine
Kumbe wewe na mjomba wako mlikwenda kuwinda swala, na yule na shangazi yake alikwenda kuwinda sungura, Justina na ankle Ben walikwenda kuwinda sungura, mlikuwa wawindaji wengi hivyo mliwamaliza hao wanyama.Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala.
Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe sana kwa uzito. Lazima tuangalie future.
Serikali ijitahidi sana ili wamasai wenyeji wapate ufumbuzi.