Bunju a ndani ndani huko, bunju beach karibu mbweni, bunju mkoani karibu na mabwe.Hapa Ni bunju gani?
Shamba la Shariff......"Shariff shamba".Miaka ile kuliitwa Shamba!
Hata Kimara, Mbezi,Goba kulikuwa na sungura wengi pamoja na nguruwe pori, nimekula sana nguruwe pori kutoka mapori ya Goba/Mbezi na KimaraNakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala.
Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe sana kwa uzito. Lazima tuangalie future.
Serikali ijitahidi sana ili wamasai wenyeji wapate ufumbuzi.
Hiyo Ilala bwashee!Shamba la Shariff......"Shariff shamba".
OkHiyo Ilala bwashee!
huko mbali SINZA ile kuanzia whiteinn kushuka chini kijiweni mpk Simu 2000 tulikuwa tunaenda kuwinda ndege enzi hizo CHANGANYIKENI kulikuwa na CHATU kabisa tulikuwa tunaogopa kuvuka upande wa CHUO KIKUUNakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala.
Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe sana kwa uzito. Lazima tuangalie future.
Serikali ijitahidi sana ili wamasai wenyeji wapate ufumbuzi.
SINZA kulikuwa pori ila kulipimwa na hta mabomba ya maji sinza yalianza kabla hata maisha ya watu tunaenda kuwinda NDEGE tunafungua mabomba tunakunywa majihvyoShua kabisa mzee wangu aliwahi nunua pori sinza ss hivi kila akinipigia story hizo namuona fala kwa nini alinunua sehemu ndogo akati alikua na uwezo wa kununua ekari kabisa.
Bryson, kiwanja ilikua T.sh 600/=SINZA kulikuwa pori ila kulipimwa na hta mabomba ya maji sinza yalianza kabla hata maisha ya watu tunaenda kuwinda NDEGE tunafungua mabomba tunakunywa majihvyo
Sinza hakukuwa na ile mtu sijui ana heka 10 sijui 20
unanunua kiwanja tu kilichopimwa tayari
kwakuwa kulikuwa Pori waliona uvivu kushika viwili viwili yaan hata kimoja mtu alikuwa ananunua anaambiwa na mwenzie kuna viwanja huko SINZA ananunua kwa kujivutaaa pori tuu
edhi hizo tunaenda kuwinda NDEGE nakumbuka mbunge sijui diwani alikuwa MZUNGU zamani
View attachment 2111940
Na wewe ndio ulikuwa mpiga nyunguUfipa st kulikuwa na kilinge cha wachawi miaka ile!