Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Mambo yamekuwa tofauti kabisa.
Siku hizi kuwa mwanachama wa CCM ndo ufahari kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia tena black and whiteHalafu TV zenyewe zilikuwa inchi 14 sijui macho yalikuwa hayaumii..!!
haha mkuu hiyo yakumiliki demu mkali ipo na ilikuepo tangu enzi za samson akamili demu mkali delilaKwanza kabisa ilikuwa kumiliki watoto wengi ndio ufahari ikaja wake wengi ikaja kumiliki baiskeli ikaja Tv ikaja simu ikaja computer desk top ikaja laptop mpk sasa imefikia kumiliki demu mkali,kila zama na nyakati zake