Miaka yangu 6 Jf

Hahaha sunbaenim...leo umekuja na wewe chitchat? Nishakuwa ahjumma tayari ujue
teh teh teh huwa nashindwa kuiona sehemu ya kucomment.

kuna wengine kadri wanapo ongeza umri basi uwezo wao wa kufikiri na hekima hupungua humu ndani lakini kiupande wako kadri umri wako unavyo ongezeka na maarifa yako na busara zako zinazopitiliza kiwango cha lami huzidi kuchanua kama maua nyakati za vuli na kipupwe.

nakutakia tena kheri ya miaka 6 ndani ya JF noona, nyakati hizi jua linapotaka kwenda kupumzika acha nimuombe Mungu mkuu anijaalie nguvu ya marafiki wa ukweli japo nusu tu ya wale unaowamiliki wewe.

ngoja nikutanie kidogo: hivi upo kwenye foleni muda huu?
 
Mbona mi mwenyewe nimeshawasamehe wengi tu lakini nawe ni listi ya wachache ambao sijawasamehe?
 
Haha sunbae una maneno mtu anaweza kusema anachat na mtu wa miaka 50 unavyojua kuyapanga hayo maneno, asante sana nakuombea pia upate marafiki wema na tayari maombi yameshaanza kujibiwa maana tayari umeshanipata mimi teh.
Nikijibu swali lako, siko kwenye foleni labda kama sijaelewa swali maana we nae huishiwi vituko.
Nje ya mada, huyo kwenye avatar ni nani?
 
hahahahaaaa mbona unataka kuniangusha dada yangu.
hivi jana hukubahatika kumsikiliza baba mwenye nyumba akizungumzia ishu ya foleni?
huyu aliye kwenye avatar muda huu anaitwa nikola tesla (July 10, 1856 to January 7, 1943).
 
Ooh sawaa, hahahaaa ile aliyosema watu wanasingizia foleni kumbe....mimi siamini nimeomba clip sijapewa nataka nisikie kwa masikio yangu
hahahahaaaa mbona unataka kuniangusha dada yangu.
hivi jana hukubahatika kumsikiliza baba mwenye nyumba akizungumzia ishu ya foleni?
huyu aliye kwenye avatar muda huu anaitwa nikola tesla (July 10, 1856 to January 7, 1943).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…