Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Basi naomba jata unigawe kwa ma.... dada.......[emoji85] [emoji85][emoji3][emoji3][emoji3] achana na mimi kabisa
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi naomba jata unigawe kwa ma.... dada.......[emoji85] [emoji85][emoji3][emoji3][emoji3] achana na mimi kabisa
Mkuu ulikuwa tanuru la fikra au CHADEMA vs CCM?Nilikuwa kwenye magroup fulani ya kisiasa Facebook watu wakawa wanaiongelea saa nyingine wanaleta link, nikalike page yao baadae na mimi nikajoin, halafu mwanzo nilijua ni forum ya kisiasa tu.
Na me nilianzia huko huko.Yote mawili, nilijoin CHADEMA vs CCM baadae nikajoin TANURU LA FIKRA
Zamani za kale ilikuwa imejikita huko zaidi...Nilikuwa kwenye magroup fulani ya kisiasa Facebook watu wakawa wanaiongelea saa nyingine wanaleta link, nikalike page yao baadae na mimi nikajoin, halafu mwanzo nilijua ni forum ya kisiasa tu.
Huwa unanikera ...Habari zenu wakuu,
Leo nimetimiza miaka sita tangu nimejiunga na huu mtandao wetu pendwa (yaani nilijiunga nikiwa kijana mpaka nimekuwa mzee hahaa). Nampongeza sana mwanzilishi wa JamiiForums kwa kuanzisha hii platform maana ni ya kipekee na ina ladha ya peke yake.
Kusema kweli nimejifunza mengi sana kupitia mada za hapa na zimenisaidia sana katika kubadili mtazamo kuhusu maisha achilia burudani zisizokwisha aisee kweli hii ni stress free zone.
Hum ndani kuna kila kitu, kuna wakati utafurahi, utajifunza,utapenda, utapendwa, utahuzunika, utaumia, yote tumeumbiwa wanadamu cha muhimu ni kusonga mbele huku ukimtegemea Mungu na kuzichukua changamoto kama sehemu ya maisha.
Cha mwisho ninashukuru miaka yangu yote hii sijawahi kula ban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hili nalo la kujivunia eti, si kwamba mimi ni mwema sana kuzidi akina fulani wanaokula ban kila baada ya siku mbili ( siwataji [emoji87]), ni neema tu.
Nawapenda nyoote hata msionipenda naomba niwatakie heri ya Christmas na mwaka mpya.
NB
Kwa mtu yeyote niliyewahi kumkwaza katika kipindi nilichokuwepo Jf naomba anisamehe hata akinifungukia hapa sehemu niliyomkwaza au ambayo huwa namkera. Mimi wengi nimewasamehe bado wachache tu [emoji87][emoji87][emoji87]
[emoji28][emoji28][emoji28]Mama yako mdogo unaniita msichana heshima imeenda wapi?
Yote mawili, nilijoin CHADEMA vs CCM baadae nikajoin TANURU LA FIKRA
HahahahaMkuu ulikuwa tanuru la fikra au CHADEMA vs CCM?
Nipo jf toka wanaitengeza
Back to back jambo forum ....
Id yangu ya zaman siwez taja aisee ina madudu mengi sana