Wadau, mambo ni mazito kwa maelfu ya students wa Kenya Institute of Management baada ya Technical and Vocational Education and Training Authority (TVETA) kuifungia kabisa na kufuta vyeti vyote vilivyotolewa kuanzia 2018
Hii si mchezo imagine umesoma miaka kadhaa, umelipa fees, umegraduate… then unaambiwa your certificate is INVALID. Hakuna kutumia kwa job, hakuna kuendelea na studies. Basically, ni kama hukuwahi soma
TVETA wanasema KIM ilikuwa inaoffer courses ambazo hazijaidhinishwa na pia walikuwa wanaajiri trainers wasio na licenses. Sasa wanafunzi ndio wamebaki katikati wakijiuliza: “Sisi tutafanya nini?”
Wengine walikuwa tayari wamepata jobs wakitumia hizo certs does this mean watapoteza kazi? Na wale walikuwa wanapanga kujiunga na universities? Doors zimefungwa ghafla.
Hii situation imeacha wengi wakifeel betrayed na system. Wanafunzi hawakujua accreditation issues, waliamini wanajenga future yao. Sasa ndoto zinaonekana kusambaratika.
Swali kubwa kwa serikali:
Wadau, hii imefika kwako ama kwa mtu unajua? Unafikiria serikali inafaa kufanya nini kusaidia hawa students?
Source: Pulse.co.ke

- What happens to innocent students?
- Kuna plan ya compensation ama placement kwa vyuo zingine?
- Au ni kila mtu ajipange kivyake?