Miamala ya Pesa: Benki ni njia sahihi, salama na nafuu zaidi

Miamala ya Pesa: Benki ni njia sahihi, salama na nafuu zaidi

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Kufanya miamala kwa kutumia M-PESA , Tigopesa , Aitel Money, Halopesa nk ni gharama sana hasa kwa maisha ya Mtanzania.

Siku hizi karibu kila mtu ana akaunti number ya benk, na matawi ni mengi sana nchi nzima. Hata Wakala wa NMB, CRDB wametapakaa kote nchini.

Ni njia rahisi na bei yake ni ndogo ukilinganisha na huu ujinga am ao umeanza.

Ukishindwa kabisa tumia hata konda wa basi akupelekee .
 
Wote tukienda bank wataweza kutuhudumia?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Bank nyingi wana mawakala kama yalivyo hayo makampuni ya simu hivyo ni kwenda kwa wakala wa nmb unaingiza muamala kwenye akaunti ya unaetaka kumtumia na yeye kule anakwenda kwa wakala wa karibu yake anatoa muamala kutoka kwenye akaunti uliyomuingizia. Itakuwa hivyo ili japo kupunguza huu ukali wa gharama tulizotwishwa
 
Bank nyingi wana mawakala Kama yalivyo hayo makampuni ya simu hivyo ni kwenda kwa wakala wa nmb unaingiza muamala kwenye akaunti ya unaetaka kumtumia na yeye kule anakwenda kwa wakala wa karibu yake anatoa muamala kutoka kwenye akaunti uliyomuingizia....itakuwa hivyo ili japo kupunguza huu ukali wa gharama tulizotwishwa
Bado tatzo lipo tu na iyo sio dawa kama wameamua kutukomoa bas bas tumekomoka kwel kwel maana izo huduma za kibank hazipo kila cku mara nyng zipo ktk mij mikubwa lkn vijijin bado mfano apa nilipo mm ni mjin kias ila kuna vijij karbu 12 vyote huduma za wakala wa bank lazma waje uku ,na ata kama ingekua zipo kila mahala bado haikua sababu ya kufanya waliofanya maana apo kuna ajir za watu zinaenda kwisha
 
Bank nyingi wana mawakala Kama yalivyo hayo makampuni ya simu hivyo ni kwenda kwa wakala wa nmb unaingiza muamala kwenye akaunti ya unaetaka kumtumia na yeye kule anakwenda kwa wakala wa karibu yake anatoa muamala kutoka kwenye akaunti uliyomuingizia....itakuwa hivyo ili japo kupunguza huu ukali wa gharama tulizotwishwa
Mkuu labda Dsm.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom