Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Bank nyingi wana mawakala kama yalivyo hayo makampuni ya simu hivyo ni kwenda kwa wakala wa nmb unaingiza muamala kwenye akaunti ya unaetaka kumtumia na yeye kule anakwenda kwa wakala wa karibu yake anatoa muamala kutoka kwenye akaunti uliyomuingizia. Itakuwa hivyo ili japo kupunguza huu ukali wa gharama tulizotwishwa
Bado tatzo lipo tu na iyo sio dawa kama wameamua kutukomoa bas bas tumekomoka kwel kwel maana izo huduma za kibank hazipo kila cku mara nyng zipo ktk mij mikubwa lkn vijijin bado mfano apa nilipo mm ni mjin kias ila kuna vijij karbu 12 vyote huduma za wakala wa bank lazma waje uku ,na ata kama ingekua zipo kila mahala bado haikua sababu ya kufanya waliofanya maana apo kuna ajir za watu zinaenda kwishaBank nyingi wana mawakala Kama yalivyo hayo makampuni ya simu hivyo ni kwenda kwa wakala wa nmb unaingiza muamala kwenye akaunti ya unaetaka kumtumia na yeye kule anakwenda kwa wakala wa karibu yake anatoa muamala kutoka kwenye akaunti uliyomuingizia....itakuwa hivyo ili japo kupunguza huu ukali wa gharama tulizotwishwa
Mkuu labda Dsm.Bank nyingi wana mawakala Kama yalivyo hayo makampuni ya simu hivyo ni kwenda kwa wakala wa nmb unaingiza muamala kwenye akaunti ya unaetaka kumtumia na yeye kule anakwenda kwa wakala wa karibu yake anatoa muamala kutoka kwenye akaunti uliyomuingizia....itakuwa hivyo ili japo kupunguza huu ukali wa gharama tulizotwishwa
Uhitaji unapoongezeka na huduma hukua,hivyo mabenki nayo yataongeza au kupanua hii hudumajapo kwa kidogo