Miamba ya CCM iliyotemwa kwenye ubunge, ikihamia chama kimoja cha upinzani italeta change of regime?

Miamba ya CCM iliyotemwa kwenye ubunge, ikihamia chama kimoja cha upinzani italeta change of regime?

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
1. January Makamba
2. Kassim Majaliwa
3. Humphrey Polepole
4. Josephat Gwajima
5. Luhaga Mpina​

Tukumbuke, vigogo hawa wametemwa na CCM ubunge 2025 kutokana na misimano thabiti isiyotetereka na isiyo na uoga na mtu yeyote.

20250729_221138.jpg
 
Takataka wote sijaona wa maana kati hao. Kama una mtu wa maana nani ambaye amewahi kufanya kitu cha maana kwaajiri ya wananchi?
Kumuita binadamu mwenzio takataka si lugha la kiungwana.
 
1. January Makamba
2. Kassim Majaliwa
3. Humphrey Polepole
4. Josephat Gwajima
5. Luhaga Mpina​

Tukumbuke, vigogo hawa wametemwa na CCM ubunge 2025 kutokana na misimano thabiti isiyotetereka na isiyo na uoga na mtu yeyote.

View attachment 3423788

Bila sheria kubadilika hakuna kitu ndiyo faida ya reform. No reform no election sasa mnaelewa umuhimu wake
 
Kumuita binadamu mwenzio takataka si lugha la kiungwana.
Mtu anaye kuwa sehemu ya wizi wa kura , mtu anaye ona watu kuwawa bila hatia ni kawaida , mtu anaye kula kodi za watu mafukara huyo kuitwa takataka ni heshima, alitakiwa aitwe kinyesi chenye sumu.
 
Hakuna mwenye nguvu hata robo ya mzee Lowasa hapo mkuu Kama alishindwa mzee Lowasa dhidi ya Dola na mamlaka hao wengine wadogo sana wamejaa Kelele tu mzee lowa alikuwa silent killer
 
1. January Makamba
2. Kassim Majaliwa
3. Humphrey Polepole
4. Josephat Gwajima
5. Luhaga Mpina​

Tukumbuke, vigogo hawa wametemwa na CCM ubunge 2025 kutokana na misimano thabiti isiyotetereka na isiyo na uoga na mtu yeyote.

View attachment 3423788
Hamna mwenye impact ya maana hapo tena kwa huyo Makamba kama watu wanataka kuua chama chao wamchukue
 
Mtu anaye kuwa sehemu ya wizi wa kura , mtu anaye ona watu kuwawa bila hatia ni kawaida , mtu anaye kula kodi za watu mafukara huyo kuitwa takataka ni heshima, alitakiwa aitwe kinyesi chenye sumu.
Aisee, una hoja lakini.
 
1. January Makamba
2. Kassim Majaliwa
3. Humphrey Polepole
4. Josephat Gwajima
5. Luhaga Mpina​

Tukumbuke, vigogo hawa wametemwa na CCM ubunge 2025 kutokana na misimano thabiti isiyotetereka na isiyo na uoga na mtu yeyote.

View attachment 3423788
Waende chama cha ubwabwa kitawafaa..
 
Hawana influence yo yote kwa Wananchi!
Wakapumzike miaka 5 tu.
 
Kajitema kisha akachanganywa kwa waliotemwa

Ha ha ha! Nitashangaa sana kama Pole Pole atakuwa Hana la ziada la kusema, au silaha nyingine, Yani akizimikia hapa atakuwa role model wangu wa kwanza wa Upumbavu
 
Back
Top Bottom