Miamba ya CCM iliyotemwa kwenye ubunge, ikihamia chama kimoja cha upinzani italeta change of regime?

Miamba ya CCM iliyotemwa kwenye ubunge, ikihamia chama kimoja cha upinzani italeta change of regime?

Ha ha ha! Nitashangaa sana kama Pole Pole atakuwa Hana la ziada la kusema, au silaha nyingine, Yani akizimikia hapa atakuwa role model wangu wa kwanza wa Upumbavu
Kesho tuone atatapika nini nyongo ikiyobaki au maharagwe ya ukweni?😂
 
Kesho tuone atatapika nini nyongo ikiyobaki au maharagwe ya ukweni?😂

Ataelekea kwenye kundi la Mbowe, ambao hao wote watakuja kuwa kama Lyatonga Mrema, au Mbatia, au Lipumba, au ( Nyalandu, attentions seeker )

Where is Nyalandu? Usaliti ni Mbaya sana kwa kweli.........!
 
Chama Cha upinzani hakijengwi au kuimarishwa na watu waliokimbia kimbia vyama vyao kwa kukosa teuzi.
 
Mods tafadhali tuambieni ukweli, kuna tetesi hapa eti wanasema January Makamba akamatwa akijichua hadharani kwa hasira baada ya kutemwa na chama chake. Kama ni kweli ni nani aliyemkamata na je alikamatwa akiwa na mafuta mgando au alikuwa anajichua kavu kavu?
 
Back
Top Bottom