mwambie ni sehemu ya kitimoto kama islamic asiendeIko Sinza mamii, ni Open Bar
Weka picha kwanza tumuone mpishi!πππ
kanisa la kristu mfalme ukimaliza tu ule ukuta unaingia mkono wa kulia utakuta baa na sehemu ya mdudu hapo ni hatariiiii.......maisha haya pesa yangu inaishia huko kwenye mabanda ya kitimoto kila ifikapo ijumaa ni kusaka machimbo mapya tutabata ipi?
mpishi anafaa kwa matumizi kama mariam birianiView attachment 1642373
Mwanamke khanga, pishi pishini ndani ya bangili π
View attachment 1642374
K Platinum Matata.
View attachment 1642375
Karibunii ππ
KβMoto, viazi ulaya na mchicha wa kienyeji.
Huduma ya happy end ipo? Naomba tuandalie na warembo wa 4 pisi kali ili tujumuike kwenye mziki.
Acha basi weekend ijayo nije mbagala tuburudike na mbuzi katoliki "Pork"
Kasie mahaba katika ubora wako, hizo kilo 3 duh hata nikija mwenyewe??, tutamaliza kweli au una familia kubwaππ
Dammit kasie[emoji39][emoji39][emoji14]View attachment 1642373
Mwanamke khanga, pishi pishini ndani ya bangili [emoji12]
View attachment 1642374
K Platinum Matata.
View attachment 1642375
Karibunii [emoji39][emoji39]
KβMoto, viazi ulaya na mchicha wa kienyeji.
mpishi anafaa kwa matumizi kama mariam biriani
Mimi nina tabia mbaya ya kula wapishi wenye chura baada ya kula chakula chao!π¬π¬π¬π
Dammit kasie[emoji39][emoji39][emoji14]
Dah, hamna tatizo bibie! Tutajua cha kufanya...Wacha tujibebee kilo 3 tu!Aaahahahahhahahaaa Extroooo........!!!
Huku maji matitu ni nyumbani kwangu sio sehemu ya biashara ndo maana sichajishi.
Nimejotolea tuu kiwapikia, ukitaka kula na pisi kali ntakufungia take away mkale kwenye nyumba ya mmoja wa pisi kali ππ
Halafu macho yangu yalisoma happy hour badala ya happy ending....., hiyo huduma utaipata kwa pisi kali utaoenda kwao aahahahhaa.
Kasie.
Kiukweli mie kupika hadi nipate msukumo, japo niko vizuri sana kwenye mapishi.
Ukija na kilo 3 naipika yote vile utataka aidha pishi tatu tofauti au pishi moja. Ntakutengea yote utakula ikibaki unaondoka nayo mie hata sikuli.
Sipendagi kudoea chakula cha mtu, nikitaka kula nakipikia mwenyewe.
Naishi mwenyewe.
π©π©π©
Hahahah we mwanamama una vituko sana πππ eti Sony Wega
Aisee ngoja tuji organise tuje kula maisha kwako bibie. Mchango kilo 3