MiBS pale ni vipi?

MiBS pale ni vipi?

Weka picha kwanza tumuone mpishi!😜😜😜

0F4C1661-5EDB-430D-8A8E-DBE880B5BECB.jpeg

Mwanamke khanga, pishi pishini ndani ya bangili 😜

3D9663D8-5545-423E-99D0-1ECF74410ACB.jpeg

K Platinum Matata.

D4EDF97D-8EB9-425A-A08B-6818AFC8D049.jpeg

Karibunii 😋😋
K’Moto, viazi ulaya na mchicha wa kienyeji.
 
tabata ipi?
kanisa la kristu mfalme ukimaliza tu ule ukuta unaingia mkono wa kulia utakuta baa na sehemu ya mdudu hapo ni hatariiiii.......maisha haya pesa yangu inaishia huko kwenye mabanda ya kitimoto kila ifikapo ijumaa ni kusaka machimbo mapya tu
 
Huduma ya happy end ipo? Naomba tuandalie na warembo wa 4 pisi kali ili tujumuike kwenye mziki.

Aaahahahahhahahaaa Extroooo........!!!

Huku maji matitu ni nyumbani kwangu sio sehemu ya biashara ndo maana sichajishi.
Nimejotolea tuu kiwapikia, ukitaka kula na pisi kali ntakufungia take away mkale kwenye nyumba ya mmoja wa pisi kali 😜😜

Halafu macho yangu yalisoma happy hour badala ya happy ending....., hiyo huduma utaipata kwa pisi kali utaoenda kwao aahahahhaa.

Kasie.
 
Kasie mahaba katika ubora wako, hizo kilo 3 duh hata nikija mwenyewe??, tutamaliza kweli au una familia kubwa😀😀

Kiukweli mie kupika hadi nipate msukumo, japo niko vizuri sana kwenye mapishi.

Ukija na kilo 3 naipika yote vile utataka aidha pishi tatu tofauti au pishi moja. Ntakutengea yote utakula ikibaki unaondoka nayo mie hata sikuli.

Sipendagi kudoea chakula cha mtu, nikitaka kula nakipikia mwenyewe.

Naishi mwenyewe.
 
Mimi nina tabia mbaya ya kula wapishi wenye chura baada ya kula chakula chao!😬😬😬🏃

Looh haya kila la kheri kwa wapishi wengine, Kasie hajakidhi vigezo vyako aka flat screen aka Sony wega.
 
Aaahahahahhahahaaa Extroooo........!!!

Huku maji matitu ni nyumbani kwangu sio sehemu ya biashara ndo maana sichajishi.
Nimejotolea tuu kiwapikia, ukitaka kula na pisi kali ntakufungia take away mkale kwenye nyumba ya mmoja wa pisi kali 😜😜

Halafu macho yangu yalisoma happy hour badala ya happy ending....., hiyo huduma utaipata kwa pisi kali utaoenda kwao aahahahhaa.

Kasie.
Dah, hamna tatizo bibie! Tutajua cha kufanya...Wacha tujibebee kilo 3 tu!
 
Looh haya kila la kheri kwa wapishi wengine, Kasie hajakidhi vigezo vyako aka flat screen aka Sony wega.
Hahahah we mwanamama una vituko sana 😂😂😂 eti Sony Wega
 
Kiukweli mie kupika hadi nipate msukumo, japo niko vizuri sana kwenye mapishi.

Ukija na kilo 3 naipika yote vile utataka aidha pishi tatu tofauti au pishi moja. Ntakutengea yote utakula ikibaki unaondoka nayo mie hata sikuli.

Sipendagi kudoea chakula cha mtu, nikitaka kula nakipikia mwenyewe.

Naishi mwenyewe.

Aisee ngoja tuji organise tuje kula maisha kwako bibie. Mchango kilo 3
 
Hahahah we mwanamama una vituko sana 😂😂😂 eti Sony Wega

Nasema ukwelii, na ni wega kweli kweli kiasi nikikaa kawenye mbao au cement natanguliza mto wa sponge kwanza 😅😅
 
Back
Top Bottom