MiBS pale ni vipi?

MiBS pale ni vipi?

Poleni, siku mkipata hamu ya kula kitimoto safi mnitaarifu mapemaa niwapikie ndani ya dakika 45 unakula msosi wako ukiwa wa motooo.

1. Nyama ya kitimoto uje nayo mbichi, viungo nnavyo ntaipika mwenyewe vile unataka ipikwe.

2. Uje na vinywaji vyako na utajihudumia mwenyewe maana mie ntakiwa busy jikoni napika.

3. Kwa wakati mmoja msizidi watu 4 maana sehemu za kukaa na meza ya chakula ni ya watu 5 tuu.

4. Huduma ya mziki au kuangalia mpira au kusoma vitabu itapatikana

5. Location, mbagala maji matitu.

6. Nyama isiwe chini ya kg 3, hata kama mtu atakuja pekeyake. Dhambi sana kuwasha kuni kwa ajili ya nusu kilo au kilo 2

7. Huduma haina malipo yeyote zaidi ya ustaarabu wa kutokuvunja glasi zangu, kutokuvunja sahani zangu, kutojikojolea na kutokumwagamwaga vinywaji sakafuni.
Uko serious Kasie "bibi malovee"??
 
Huduma ya happy end ipo? Naomba tuandalie na warembo wa 4 pisi kali ili tujumuike kwenye mziki.
 
duh sis hapa mwanza tuna cask ila haiko vibaya sana lakini
 
Njooni micasa tabata.unakula mdudu first class na totoz za kimbulu zimekuzunguka
 
Poleni, siku mkipata hamu ya kula kitimoto safi mnitaarifu mapemaa niwapikie ndani ya dakika 45 unakula msosi wako ukiwa wa motooo.

1. Nyama ya kitimoto uje nayo mbichi, viungo nnavyo ntaipika mwenyewe vile unataka ipikwe.

2. Uje na vinywaji vyako na utajihudumia mwenyewe maana mie ntakiwa busy jikoni napika.

3. Kwa wakati mmoja msizidi watu 4 maana sehemu za kukaa na meza ya chakula ni ya watu 5 tuu.

4. Huduma ya mziki au kuangalia mpira au kusoma vitabu itapatikana

5. Location, mbagala maji matitu.

6. Nyama isiwe chini ya kg 3, hata kama mtu atakuja pekeyake. Dhambi sana kuwasha kuni kwa ajili ya nusu kilo au kilo 2

7. Huduma haina malipo yeyote zaidi ya ustaarabu wa kutokuvunja glasi zangu, kutokuvunja sahani zangu, kutojikojolea na kutokumwagamwaga vinywaji sakafuni.
Kasie mahaba katika ubora wako, hizo kilo 3 duh hata nikija mwenyewe??, tutamaliza kweli au una familia kubwa😀😀
 
Nimepata fursa ya kutembelea ile recreation area mara mbili 3 ila kilichonishangaza of all the times ni huduma zao haziendani na umaarufu wa hilo jina lao.

Ukienda agiza menu basi unaweza maliza hata lisaa na nusu mpaka mawili hujaletewa diko esp. yule mdudu spesho hali inayopelekea mpaka hamu inakata au njaa inakata kabisa. Ukitaka fruit juice nayo kipengele hadi koo likauke.

Hii kadhia inanipata mimi tu au wenzangu mliofika pale mambo yanakuwagaje?
jina kubwa ila huduma mbovu napajua hapo wanazidiwa hata na tips aiseeee........au pale lily's pub
 
Mkuu Kuna maua sana hapo eeeeh!!

Tuanza kujongea mdogo mdogo
hao wapo wengi sana mdau halafu wamekimbia kule ilipo governer nyuma kule nimepasahau jina.....hao nao wapo vizuri kwenye mdudu wa kuchoma daaah halafu sahani zao za mbao mie nilivutiwa mno na pilipili yao.........
 
Back
Top Bottom