dramaqueen1
Senior Member
- Apr 23, 2018
- 115
- 111
- Thread starter
-
- #21
Hii kaliElia mwairosi,,,rick ross
lidia mwaigaga..lady gaga
kanyetile mwaiwest alafu wote walitoka unyachusan
Ukipata jibu nisaidie kuhusu Kanye West, kanye pia ina asili ya kiswahili.
Chirs p. Brown
P stand for pombe
Anambemenda kijana wa miaka 34. Yeye yuko 47yrs old! [emoji1]
Anambemenda kijana wa miaka 34. Yeye yuko 47yrs old! [emoji1]
Mbona wewe Dramaqueen una jina la kizungu?
AhahahahahahUkipata jibu nisaidie kuhusu Kanye West, kanye pia ina asili ya kiswahili.
Haahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaaa! Jaman jf ni kiboko
Bila shaka unamaanisha WHY Did I Get Married... na kama usingeitaja Desparate Housewives, ningesema huyo kivuruge chamdomo bila shaka atakuwa Tasha Smith!Umeona eee,kuna taraji na kuna yule sijui nani nimemsahau jina kwenye how did i get married yupo ana mdomo sana hata kwenye empire yupo ndo dadake taraj,kwenye desperate house wives yupo yaani ni kivuruge jamani,hawa mentor na don c wasitutoea kwenye mstari wale ni ndugu zetu kabisa
Bila shaka unamaanisha WHY Did I Get Married... na kama usingeitaja Desparate Housewives, ningesema huyo kivuruge chamdomo bila shaka atakuwa Tasha Smith!
Ahsante chige kwa masahihisho na kuniwekea huyo crazy angela,mwanamke ana mdomo na mtata sana,
Waamerika weusi wanapenda sana kujiita majina ya kiswahili. Kule California kunafanyika sherehe za kwanzaa festival kila December. Na hayo majina yao ya kiswahili huyapata kwa kutumia Google search, mfano unakwenda Google halafu unaandika swahili names boom walaa.Majina ya nyota hawa wawili wa hollywood yananifanya niwaze kwa sauti kutokana na kuwa na uhusiano na lugha ya kiswahili
Michael B Jordan ambae jina lake limekuwa likifananishwa na mcheza basketball maarufu Michael Jordan, amefunguka akisema kuwa jina lake yeye ni Michael B Jordan, herufi B ikiwa inasimama badala ya jina la kiswahili Bakari likiwa na maana ya 'noble promise'
Anasema " B stands for Bakari, it's Swahili and it means noble promise"
Tuje kwa Taraj P Henson ambae jina lake kamili ni Taraj Penda Henson.
wikipedia inaandika kuwa "Her First and middle names are of swahili origin, Taraj means 'hope' and Penda means 'love' "
'_
Nawazaje kwa sauti?
Ni kuwa huenda watu hawa wazazi wao au bibi zao walihamia America kutokea East Africa(hasa Tanzania) na wakabadilisha identity zao na kuwa za huko maana majina yao ya kiswahili yananikanganya, tena Michael B Jordan ana Dada aitwae Jamila ( jina limekaa kiswahili kabisa), dictionary.com inafafanua jina Jamila kuwa " a female given name from a Swahili word meaning 'beautiful'
Kiukweli hawa Waamerika wenye majina ya kiswahili wamenikanganya kunifanya Niquestion originality identity zao.
Yule Msukuma Wa ChatoKwa hiyo Kanye itakuwa ana asili ya kabila gani hapa Bongo?
Ukipata jibu nisaidie kuhusu Kanye West, kanye pia ina asili ya kiswahili.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hebu subiri kwanza