Michael B Jordan na Taraj P Henson wanauhusiano gani na kiswahili?

Ni muda mrefu hawa wenzetu wanahusisha kiswahili na uafrica.

Na kuna ile sikukuu yao wanaiita "Kwanzaa"....wakimaanisha ni sikukuu ya asili ya ki africa ndio maana wameipa jina la kiswahili....na ina nguzo zake saba na zote zipo kwa kiswahili, Umoja, Kujichagulia,Ujima, Ujamaa, Nia, Kuumba na Imani.
 
Hahaaaa kweli bhana tena kama anagechukuliwa utotoni anageukana kabisa uraia wake yule jamaa maana hata kwenye historia yake hajaonyesha maisha ya Tanzania.

Ukimsikia Kiingereza chake sasa ndo ilikuwa shida.

Kama kazaliwa mtoni na kiswahili kajifunza ukubwani.
 
Ahsante chige kwa masahihisho na kuniwekea huyo crazy angela,mwanamke ana mdomo na mtata sana,
Yaani uliposema Chamdomo Kivuruge fulani hivi; nikajua lazima atakuwa Tasha huyu manake namfahamu vizuri tangu tuwe Madenge Primary School; Temeke!!
 
Jf raha sanaa

Btw hao wamarekani weusi mnaowaona huko US na nchi zingine ni waswahili kbs na asili zao ni nchi za Afrika so hakuna cha kushangaa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…