MILL8
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,837
- 879
haha! umeua mkuuElia mwairosi,,,rick ross
lidia mwaigaga..lady gaga
kanyetile mwaiwest alafu wote walitoka unyachusan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha! umeua mkuuElia mwairosi,,,rick ross
lidia mwaigaga..lady gaga
kanyetile mwaiwest alafu wote walitoka unyachusan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Elia mwairosi,,,rick ross
lidia mwaigaga..lady gaga
kanyetile mwaiwest alafu wote walitoka unyachusan
unajua wengine ni wabongo ila wakishafanikiwa huko mtoni!! ukiwashtukia aaaahhh wanakana kabisaaa..
Age is just a number wanajisemeagaAnambemenda kijana wa miaka 34. Yeye yuko 47yrs old! [emoji1]
Kanye MagharibiUkipata jibu nisaidie kuhusu Kanye West, kanye pia ina asili ya kiswahili.
Hahaaaa kweli bhana tena kama anagechukuliwa utotoni anageukana kabisa uraia wake yule jamaa maana hata kwenye historia yake hajaonyesha maisha ya Tanzania.Hashim Thabiti alipofika kule alibadiri jina kuitwa Hasheem Thabeet.
Hahaaaa kweli bhana tena kama anagechukuliwa utotoni anageukana kabisa uraia wake yule jamaa maana hata kwenye historia yake hajaonyesha maisha ya Tanzania.
Yaani uliposema Chamdomo Kivuruge fulani hivi; nikajua lazima atakuwa Tasha huyu manake namfahamu vizuri tangu tuwe Madenge Primary School; Temeke!!Ahsante chige kwa masahihisho na kuniwekea huyo crazy angela,mwanamke ana mdomo na mtata sana,

Hafai na ukimkuta scene ya huruma au masikitiko unasikitika halafu unaona kama vile kapwayaYaani uliposema Chamdomo Kivuruge fulani hivi; nikajua lazima atakuwa Tasha huyu manake namfahamu vizuri tangu tuwe Madenge Primary School; Temeke!!
Hihihihihiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona hata rick ross anaitwa William T. Robert. Hiyo T inasimama for Tweve.. Babu zake ni waakinga wa makete
Mbona hata rick ross anaitwa William T. Robert. Hiyo T inasimama for Tweve.. Babu zake ni waakinga wa makete
hahhahaaaUkipata jibu nisaidie kuhusu Kanye West, kanye pia ina asili ya kiswahili.
Hafai na ukimkuta scene ya huruma au masikitiko unasikitika halafu unaona kama vile kapwaya