donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
William Leonard Roberts IIMbona hata rick ross anaitwa William T. Robert. Hiyo T inasimama for Tweve.. Babu zake ni waakinga wa makete
Gabrielle unionUmeona eee,kuna taraji na kuna yule sijui nani nimemsahau jina kwenye how did i get married yupo ana mdomo sana hata kwenye empire yupo ndo dadake taraj,kwenye desperate house wives yupo yaani ni kivuruge jamani,hawa mentor na don c wasitutoea kwenye mstari wale ni ndugu zetu kabisa
Her paternal grandma ni mzaramo kabisa
Gabrielle union
Ni muda mrefu hawa wenzetu wanahusisha kiswahili na uafrica.
Na kuna ile sikukuu yao wanaiita "Kwanzaa"....wakimaanisha ni sikukuu ya asili ya ki africa ndio maana wameipa jina la kiswahili....na ina nguzo zake saba na zote zipo kwa kiswahili, Umoja, Kujichagulia,Ujima, Ujamaa, Nia, Kuumba na Imani.
richadi mabala ni mzungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hata rick ross anaitwa William T. Robert. Hiyo T inasimama for Tweve.. Babu zake ni waakinga wa makete
HahahahaaMbona hata rick ross anaitwa William T. Robert. Hiyo T inasimama for Tweve.. Babu zake ni waakinga wa makete
kuna siku nilimsikia alisema jina la Penda yes ni swahil origin ila uzao wao umetokea Mauritious,Ila Taraj atakuwa mswahili tu tena mswahili pasee si kwa mdomo ule
hi millerkuna siku nilimsikia alisema jina la Penda yes ni swahil origin ila uzao wao umetokea Mauritious,
Heyhi miller
.Taraj wakati mama yake ana mimba yake alikuja Zanzibar kiutalii na akampata rafiki Mzanzibari..Akamwambia kwa upendo ulionionesha,natarajia kupata upendo mkubwa kutoka kwa mwanangu nitakayemzaa..ndo Chanzo cha jina la Taraj..na kiufupi Taraji anaitwa Tarajia Pendo/a Henson
What!?Hata pombe nmeskia ni LA ....