Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Tangu nimeanza kushuhudia kabumbu miaka ya 1993 mpaka leo nadiriki kusema hakuna mcheza mpira aliyejaaliwa kupiga mashuti kama Michael Ballack. Mjerumani huyu hana mpinzani kabisa, je tunakubaliana wakuu kwa hili?
Atakuwa hamjui huyuRoberto Carlos nae tutasemaje?
Ye ni mmoja wapo ila kwangu mm baba yao ni roberto carlo, kidogoo na jon arne risee hawa watu ukiona wamekunjuka halaf on target hesabu mengine
Atakuwa hamjui huyu
Ila jamaa alimtelekeza bibi(nyanya) yake aliyemlea aiseehujamuona Adriano Mutu wa Inter Milan
Yeye mwenyewe alijitelekeza...Ila jamaa alimtelekeza bibi(nyanya) yake aliyemlea aisee